Ivi nani anayemuelewa Masoud kipanya

Ivi nani anayemuelewa Masoud kipanya

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,432
Reaction score
7,965
Hapa kamaanisha ninii?
FB_IMG_1613852364704.jpg
 
Wameanza kugoma na yeye anawakokota tu. Je, nani ataibuka kidedea?
 
Mbuzi (buzi) litakata kamba soon...

Mchepuko trekta (mchuchu) utahaha kwa kamba kukatika
 
Apo ni paula (mtoto mdogo) vile anawapelekesha watu wazima (kajala,Mayonaizi, n.k)

Apo alkua anajarbu kuonesha jinsi paula mtoto mdogo anavoweza kuzua mjadala kufanya watu wazima waache kazi zao waanze kumjadili yeye mtoto aliekua mbele ya macho yao



Nawaza kwa sauti.
 
Mlisema vimafua tu sasa vinataka kutusumbua
 
Back
Top Bottom