Ivi kazi hii ni ya nani

ni kazi ya bwana au bibi.... hakuna kanuni mkuu

umeshwahi kusikia ndoa ina job description?
 
Kama ni mume wangu, namfulia kwa raha zote na nitafanya kazi zote za nyumbani, my biggest problem napenda mwanaume anayerudi nyumbani mapemaaa, saa 12 kiwa home basi mie najiona malkia
Mmmh! Kongosho tafadhali ni pm!
 
Kama ni mume wangu, namfulia kwa raha zote na nitafanya kazi zote za nyumbani, my biggest problem napenda mwanaume anayerudi nyumbani mapemaaa, saa 12 kiwa home basi mie najiona malkia
ungenifurahia sana wewe,me saa kumi ni home
 
ha ha ha, kwa kweli hilo kwangu ni limbwata tosha, hata mtu aniambie mumeo kakuktwa gesti na changu kashindwa kumlipa nitaenda kumlipia narudi naye home bila kuuliza chochote.
 
crazy??
 
Back
Top Bottom