Sifuti kauli maana nina ushahidi wa kutosha kuhusu ushetani wa wanaume.
Kuna jamaa analalamika forward yake butu thread ya pili hapo,,, huku kuna mdada amezidiwa akili kwenye fast jet anakaribia kuvuliwa pichu kwa huruma..
Haya wewe uliyesema forward yako butu njoo ujifunze style ya counter attack hapa saa li moja tu on board mdada ameshaona huruma
Jamii forum ni zaidi ya social network
Wanaume wengine kwa fix? Hapo Jamaa alitaka umuonee huruma ili umgawie hicho kitumbua chako. Hana lolote huyo
Kwa hiyo Jamaa aligonga mashine kwa kutumia gia nyepesi namna hiyo?. Huyu bidada atakuwa maharage ya SOYAAmuonee huruma mara ngapi?! Cheki uandishi wake utajua ninachoongelea!!
Wanaume wengine kwa fix? Hapo Jamaa alitaka umuonee huruma ili umgawie hicho kitumbua chako. Hana lolote huyo
Wanaume mashetani sana, akimtamani mwanamke hutumia trick za aina mbali mbali ili aonewe huruma atimiziwe lengo lake.
anaweza akajiliza ukaona unaliliwa kumbe anakung'ong'a moyoni. chezea banaume hawa. anaweza akamtukana mkewe kuwa ni shetani ukajiona wewe malaika wakati ana madhumuni mengine. shwain