Alagwa
Member
- May 30, 2012
- 95
- 85
Jana jioni saa 11 nimeweka sh 1000 kwenye simu yangu nika piga simu kwa mwenzangu nae yupo airtel lakini hata dakika 1 haija isha simu ikakata eti vocha imeisha nikarudi kwa jamaa wa rusha vocha nikakuta watu kama 3 wanalalamika hivyo hivyo kuwa salio limeisha alafu kuna jamaa kaniambia hiyo kitu iliwahi kutokea hapa wakalalamika sana basi matengenezo yakafanywa kwenye mnara sasa napata mashaka hata kuweka salio na ndio nimeamishiwa hapa kikazi sijui kama ni kweli kuwa ukiwa hapa eti salio linakatwa kubwa kupiga simu au ni kawizi kadogo tuuu?