Ivi huu ni wizi wa airtel au ni wenge langu tuu

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
84
Jana jioni saa 11 nimeweka sh 1000 kwenye simu yangu nika piga simu kwa mwenzangu nae yupo airtel lakini hata dakika 1 haija isha simu ikakata eti vocha imeisha nikarudi kwa jamaa wa rusha vocha nikakuta watu kama 3 wanalalamika hivyo hivyo kuwa salio limeisha alafu kuna jamaa kaniambia hiyo kitu iliwahi kutokea hapa wakalalamika sana basi matengenezo yakafanywa kwenye mnara sasa napata mashaka hata kuweka salio na ndio nimeamishiwa hapa kikazi sijui kama ni kweli kuwa ukiwa hapa eti salio linakatwa kubwa kupiga simu au ni kawizi kadogo tuuu?
 
Ukinnua vocha zao hata uksugua kwa umakini vipi lazima namba moja au mbili zifutike,..ukienda kulalamika utazungushwa hadi ugaili,kwa ufupi makampuni ya simu bongo ni matapeli na wanalindwa na serikali hii ya kifisadi sababu wana share kwenye hizi kampuni
 
Cm yangu ya airtel nimeiweka pending 7bu nilichukizwa na wizi wao huo.
 
Hilo tatizo sio kwako tu. Huu mchezo wao ni wa kudumu kwa sababu Mamlaka zinazohusika hazina tabia ya kufuatilia malalamiko ya Wateja na kuwakemea wahusika kwa sababu inaonekana na wao wana hisa kwenye hayo Makampuni ya simu.
 
he nilifikiri ni mimi tu bora we ukipiga me nilihamisha na wakakata na hakumfikia muhusika na sio mara moja ninawavia niwashtaki TCRA wameiba vocha zangu hadi nimechoka
 
Kuna wizi makubwa sana wanafanya hawa jamaa
Wameniudhi na unlimited bundle yao! Eti mini hapa mtandao hupatikani siku nzima
Bundle za uhakika ziko sasatel tu
 
Back
Top Bottom