Wole Soyinka talking to Senghor who proclaimed Negritude but married a white woman...A tiger does not proclaim its tigritude :it pounces.Bring it on man.
........... ni powa Geronimo................karibu sana katika kuuwasha moto.....................moto uwashe na usichoke kuupepea kusudi ukolee...................weka na mafuta ya taa..........................tia petrol............................ukoleeeeeee..................................ukolezeke, tahadharii nakutahadharisha.................................moto huo usije kukuchoma weye...............................................jaribu kuwa muangalifu.......................,moto wa petroli si mchezo,hauzimwi kwa maji tuuu,jitahidi kuwa na unga wa kabon daioksaidi, au la faya eksitinguisha...................kwa maana kwamba waweza ungua wewe..................................,tena ukaungua hata majivu yasipatikane???,........................karibu sana katika kuuwasha moto...moto njoo, njoo moto wa geronimo....................niaje wanajamii forum,moto nitakaokuja kuuwasha hamna atakayeuzima
Mkuu hili ni shairi au?sijakupata bado!........... ni powa Geronimo................karibu sana katika kuuwasha moto.....................moto uwashe na usichoke kuupepea kusudi ukolee...................weka na mafuta ya taa..........................tia petrol............................ukoleeeeeee..................................ukolezeke, tahadharii nakutahadharisha.................................moto huo usije kukuchoma weye...............................................jaribu kuwa muangalifu.......................,moto wa petroli si mchezo,hauzimwi kwa maji tuuu,jitahidi kuwa na unga wa kabon daioksaidi, au la faya eksitinguisha...................kwa maana kwamba waweza ungua wewe..................................,tena ukaungua hata majivu yasipatikane???,........................karibu sana katika kuuwasha moto...moto njoo, njoo moto wa geronimo....................