ITV 'yapotea hewani' kwenye king'amuzi cha DStv

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,280
25,859
Tangu jana,channel nambari 293-ITV kwenye king'amuzi cha DStv haipo hewani. Kuna ujumbe tu kuwa kuna tatizo la hali ya hewa.

ITV fanyieni kazi jambo hili. Nawasilisha.
 
Kwenye king'amuz cha continental hakuna cha star tv wala itv sijui nn tatizo
 
Huku kwangu ipo ila Jana asubuhi ujumbe huo niliupata kwenye Chanel 294 Clouds tv na Leo asubuhi pia ulikuwepo lkn badae uliondoka!!
 
Leo nimewasha TV nakuta ITV na EATV hazipo hewani kulikoni tena sio kawaida yao.
 
Tangu jana,channel nambari 293-ITV kwenye king'amuzi cha DStv haipo hewani. Kuna ujumbe tu kuwa kuna tatizo la hali ya hewa.

ITV fanyieni kazi jambo hili. Nawasilisha.
Jana usiku na leo imepotea kidogo, sasa hivi imerudi.
 
I thought shida iko kwangu, toka juzi ITV inasumbua sana. Nikajua labda ikifika usiku peak hours labda watu wengi wanatune ITV, nikatafta fundi aongeze signal strength and quality.

Leo tatizo liko pale pale. Mimi hua siangalii tv, ni mara chache sana, sema bimkubwa yuko hapa hom anapenda ITV sana so mara nying ikisumbua ananiambia, ndio nikajua kuna hili tatizo.

Basi itakua ITV wenyewe ndio wana shida kwenye mitambo yao. Chaneli nyingine DSTV ziko poa sana isipokua ITV.
 
Back
Top Bottom