Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,671
- 218,175
Haya ndio malalamiko mapya yaliyowasilishwa kwetu na wadau mbalimbali wa Haki, jambo hili linalalamikiwa kutokana na Kipindi cha Dakika 45 cha ITV kufanya mahojiano na mmoja wa Wagombea, Edward Hoseah ambaye ni Rais wa sasa TLS.
KItendo cha kumhoji Hoseah peke yake, tena katikati ya Kampeni, kimeonekana kama kampeni ya makusudi ya ITV ya kumfanyia promo Edward Hoseah, jambo linalotafsiriwa kama ni kuvunja kwa Kanuni za uchaguzi.
Je, Wagombea wengine wa nafasi ya Urais wa TLS, akiwemo Wakili Msomi Mtobesya anayepewa nafasi kubwa ya kushinda, watahojiwa lini na hiyo DK 45 ya ITV?