Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,544
- 139,864
Toka video ya Magufuli akijikanyaga kingereza ianze kusambaa,ITV imekuwa ikionyesha wosia wa Baba Nyerere kwa lugha ya kingereza.Mara tu baada ya taarifa ya habari ITV imekuwa ikitupia wosia wa kingereza.JE hi ni coincidence to ama ni kutaka kum-disqualify Dr.Magufuli kijanja?