Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Leo ITV wamenishangaza sana.Habari ya Tundu lissu kuchaguliwa rais wa TLS wameifanya habari kuu.
Lakini cha kushangaza wameipa muda wa sekunde 15 tu."Kama zile za IG"Pili lissu katoa hotuba ya kingereza baada ya kuchaguliwa.Lakini ITV hawajatafsiri kama ilivyo kawaida yao.Pia hawajachukua maoni ya mawakili juu ya lisu kuchaguliwa kuongoza TLS na wameifanya habari ya mwisho kabisa.
Hii inadhiitisha vyombo vya habari vipo gizani.Na kwa mtindo huu safari bado ndefu sana.
ITV wakiendelea na figisu hizi za kuwafurahisha lumumba views watapotea kama walivyopotea star tv wajitathimini upya.