unafiki wangu ni upi?
Kuangalia real situation au kupostiwa fake info?
Itv wame edit picha -kigoma
Ulianzisha Uzi ukitegemea Lumumba FC waje wakusaidie,bahati mbaya wamekutosa,haya sasa hangaika na wadau wanakuuliza hizo picha zako za "ukweli"ziko wapi? Weka tuzione basi mnafiki wewe.
umeelewa kilicho andikwa??
Ni vizuri tukajadili kilichowekwa mezani kuliko kumjadili mtu binafsi.
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.
kumbuka kuwa wanaoleta fujo ni wachache sana. Unataka wapogwe mabomu wote na walio wastaraabundugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Ni vyema maji yakaitwa maji na sio kulazisha maji kuita mma.kakojoe ukalale
mkuu nipo MIMI KAMA MIMI NA ZILE PICHA SI ZA KWELI Napenda siasa huru
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
sipendi kupotoshwa na ndio maana nimeliona hili!

By scatter:
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo
katika nchi yetu na tena na msimamo
mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano
sehemu mbalimbali nchini na hasa
kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na
nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya
kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama
ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na
kuzifanya zionekane kuna watu wengi
kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo
mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu
yanapigwa na watu kukimbia utaona
kutoka mkutanoni watu wachache tu
ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya
machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Ni vyema maji yakaitwa maji na sio kulazisha maji kuita mma.