Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
kama maneno yako niya kinafiki niwazi we ni mnafikiNdugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Watanzania mmelogwa na nani?ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Mtukane mkatae, Watanzania wameona mlivyoishiwa damu.
Kila mtu kaona mlivyofulia.
Poor saccos from Moshi.
... Kwanza CHADEMA haina wanachama wenye msimamo mkali! Au ulimaanisha mwanachama wa nanihii?Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema...
sipo katika ccm ila watu si wengi kule mkuu
.......Ubishi wa kitoto na wa kishamba kabisa huu,tatizo lenu magamba mna force ukweli uwe uongo,nyekundu kuwa njano imekula kwenu 2015 itabaki kuwa historia tu...
wewe ni mnafiki kama shetani alivyo.mawazo yako kama uharo wa fisi.kama sio mnafiki nani kakutuma uandike ulichoandika humu.sepa humu na pumba zako goigoi weweNdugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini.. Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo 1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa 2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile 3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why? Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
kwa kawaida picha zote zahabari hueditiwa, pia mabomu yalukuea hatawanyi mkutano, bali 'wale vijana wachache'