Itv wame edit picha -kigoma

Ameedit eee kanusha na utowe taarifa yako kwenye tv ya huyo unaemuona ni bora kama anayo maana naona mapovu yanakutoka kwa ajili ya elfu tano ulopewa bwiga kweli
 

Kaanzishe kituo chako cha TV na ukazionyeshe hizo picha zako ambazo unahisi hazija-editiwa...
 
Pole mkuu slaa ni kimbunga hawezi zuia zitoo kwenu wamekukataa kama we mwanaume nenda kitongoji chochote arusha kaitishe mkutano, mshaurini zitto aganye siasa safi aache siasa chafu
mkuu tusipotezane na tuacheni mchezo wa kuzoom zoom mipicha just be real for the peoples
 

Duh, kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa ITV wamehongwa na Chadema? Kama TBC1 wangefanya kazi yao sawasawa, mashaka yasingekuwapo, lkn kwa kuwa TBC1 hawawafanyii kazi wananchi bali CCM na watawala, kuchanganyiwa lazima kuwepo.
 
Hakuna mwanachadema mshenzi kama wewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

ushenzi upo wapi ??
Je umeenda na kipindi najielewa sana ila kwa hili sio kweli picha zile
 
Kilichoandikwa na mtoa habari ni tofauti kabisa na tulichokishuhudia na kukiona ktk Itv,pana jengine?

Kwani lengo lenu la kuanzisha vurugu lilikuwa ni lipi?
Labda mna la zaidi ya hilo?! Mtujuze!!
 
We sio mzima umepagawa bada ya mipango yako na zitto kufeli slaa hamumuwezi anakubalika sana kajipangeni upya wachawi wakubwa nyie
non sense issue mkuu angalia hoja juu mkuu na je umeona habari?
 
weka zako sasa, mnafiki mkubwa wewe!

hakuna unafiki mkuu wanachadema waukweli walikuwa wachache tu let us be real kudanganyana kuna watu wengi mwishowe wanatuangusha katika uchaguzi
 
2 + 2 = 4; HAPANA SIYO 4. NI ngapi kama siyo 4. Na mimi sijui; lakini siyo 4.

Kuna haja ya kujifundisha falsafa.
Afrika tunahitaji kuamsha bongo la sivyo tutabaki na nyani na mahandaki.
Khaaaaaaa
 
sasa hiyo habari uliopost hapa unataka ITV waombe radhi kwa kuonyesha ukweli au?
toa umbea wako wa kimalawi malawi hapa.
 
Wewe mfuasi wa maendeleo ya akina lowasa rostam na chenge. Mambo ya chadema hayakuhusu.
Inaonekana ulikua unawashwa kuanzisha thread. Kwanini usingecomment huu ----- kwenye thread ilokwisha anzishwa?.

tatizo sio uzi mkuu habari kama hii yakufake sio nzuri kwasiku zijazo itatucost!
 

Idi0tum et id1otas; puta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…