ITV vs Star Tv kituo kipi wana ubora wa picha?

ITV vs Star Tv kituo kipi wana ubora wa picha?

Zote sawa, itv uwa naangalia mizengwe na star tv naangalia bbc dira tv basi!
 
sijui kwanini binafsi naona kama mambo ya TV yamekaa kizamani kama magazeti tu,nilishaacha zamani kushobokea upuuzi huo,kwani hapa JF napata kila kitu tena kwa ziada ya mahitaji ya kawaida..i will stick here now & forever..
 
Hivi wajameni kati ya itv na star tv ni kituo kipi cha runinga wana ubora wa picha???
Vyote vibovu tu, ukiangalia channel za DSTV utagundua zetu ni takataka tu hakuna mwenye ubora wa picha na hata ubora wa vipindi
 
Acha kufananisha ITV na vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom