Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Habari zenu wakuu
Katika kufuatilia kwa mchakato wa Katiba mpya leo hii kukabidhiwa kwa Rasimu iliyopendekezwa naona wameipotezea.
Kwa hili najiuliza kama walikua mstari mbele sana katika kutoa airtime aidha bila malipo au kwa malipo leo hii wako kimya .
Je:uongozi wamefanya hivyo kwa kuwa haijapendekezwa kiuhalisia na watanzania (majority) au kwa makusudi uonesha nao hawaikubali .
Tbc1 na wanaonesha live huku Znz na Clouds tv wamejiunga kupitia Tbc1.