KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 183
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri na mhariri mtendaji wa new habari absalom kibanda amerejea leo nchini na kulakiwa na watanzania wapenda amani na maendeleo. Wanachi wengi sana walijitokeza huku wengine wakitokwa na machozi ya huruma huku wakiwa hawaamini kumuona tena kibanda akiwa na siha njema namna ile.
Kibanda amewashukuru watanzania kwa dua zao wakati wote tangu apatwe na masibu yale na ameahidi kuelezea mkasa mzima jinsi ulivyokuwa na kutoa leads ya ni nani hasa wahusika wa utesaji dhidi yake...
pole sana kibanda na karibu nyumbani...mungu azidi kukujaala afya njema uendelee kulijenga taifa lako...damu yako haijamwagika bure.
Labda hataki hilo jicho lililobaki.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Una maana wale watoa kucha na meno bila ganzi watamrudia tena,ili waje wamnyofoe hilo jicho la pili lililobaki?!Labda hataki hilo jicho lililobaki.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hata mwakyembe nae alisema hv hv ila hadi leo kmy!kwn had polic waseme !!?we kama unajua kilichokutokea c useme tujue,au km hutak piga kmy mana uckute unamaskendo yko na watu huko ukafumuliwa!!
skendo kama ile ni ngumu sana kuitengasha na serikali ya mr. dhaifu. ingekuwa ni chama pinzani au mtu binafsi ndiyo kafanya vilee asingemaliza hata wiki angekuwa tayari kova mzee wa mikengeza a.k.a mzee wa kutokelezea kwa kioo angekuwa kashaitisha press conference... hapo jk na serikali yake wanahusika.