Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Sep 28, 2015 744 660 Jun 6, 2017 #5 Lengo lako ni kuwachafua au? Kwa ITV utasubir sana yan kuwachafua ni ngumu kama ilivyo ngumu kukuta Ndege ina sidemirror
Lengo lako ni kuwachafua au? Kwa ITV utasubir sana yan kuwachafua ni ngumu kama ilivyo ngumu kukuta Ndege ina sidemirror
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,772 12,174 Jun 6, 2017 #6 Hata iyo fuso ulichomelea bati tu itakua ka izo zingine. Au unadhani hizo zingine sio fuso.
R.B JF-Expert Member May 10, 2012 6,296 2,575 Jun 6, 2017 #7 ANGALIA SCREEN YAKO HAIONESHI TIMU ZINAZOCHEZA MUDA LIST ZA WACHEZAJI
Rogie JF-Expert Member Nov 22, 2010 7,584 6,694 Jun 6, 2017 #8 R.B said: ANGALIA SCREEN YAKO HAIONESHI TIMU ZINAZOCHEZA MUDA LIST ZA WACHEZAJI Click to expand... Haioneshi muda. Jana mechi ya kwanza imechezwa bila kuonesha ni timu gani zinacheza.
R.B said: ANGALIA SCREEN YAKO HAIONESHI TIMU ZINAZOCHEZA MUDA LIST ZA WACHEZAJI Click to expand... Haioneshi muda. Jana mechi ya kwanza imechezwa bila kuonesha ni timu gani zinacheza.
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 70,480 97,691 Jun 6, 2017 #11 ITV ni jina tu ila kwenye upande wa Tech ni hovyo sana sijui hiyo SuperBrand wanaipataje
Blank page JF-Expert Member May 28, 2015 5,213 4,328 Jun 6, 2017 #12 hahah...ndo wanaanza mkuu,hata hivyo hakuna namna sabu wao ndo wamepewa huo mkataba wa kurusha matangazo live na sportpesa.hivyo wameaminiwa..
hahah...ndo wanaanza mkuu,hata hivyo hakuna namna sabu wao ndo wamepewa huo mkataba wa kurusha matangazo live na sportpesa.hivyo wameaminiwa..