ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

Status
Not open for further replies.

Kwani lazima ITV warushe? Si kuna TBC1 tena ya Taifa ungeangalia huko.
 
mbona channel ten hawakuonesha, kingine wanajitambua kiutanzania zaidi sio ujingaujinga kama wa dogo, mtu unajiamini unaakili kuliko chama shida sanaa, kuna muha moja alikuwaga MD wangu tulikoma ni mbinafsi, mchoyo, kila kitu anajua yeye n.k

nilifanya kazi na mmoja, mbishi huyo, anabishana mpaka na redio.
 
ZZK your career is over like Mike anyone Tyson,Jackson,Jordan.
 
Mkuu usilolijua na kulielewa ni kuwa vyombo vya habari kama magazeti, Redio na Tvs huwa vinawatuma waandishi wao kwenye ziara za viongozi wa vyama vya siasa ngazi ya taifa. Ndo maana ITV wamemtuma mwandishi wao kwenye ziara ya Slaa ambaye ni kiongozi wa taifa, sasa.... Zitto ana uongozi gani kwenye CDM ngazi ya taifa hata apewe mwandishi wa habari kuongozana naye? Waambie nduguzo wa TBCCM, Uhuru na Jambo Leo watume wawakilishi kwenye ziara ya Zitto basi. Watu wengine bwana!!!!!!
 
Labda ni media policy yao ama ndio labda ni juu ya ownership ama labda ni juu ya Censorship factor..... Mmiliki wa ITV ni nani vile? Chadema inatuhumiwa inapendelea watu wa wapi vilee? Tafuta majawabu ya haya maswali hapo utajua KWANINI
 
mbona channel ten hawakuonesha, kingine wanajitambua kiutanzania zaidi sio ujingaujinga kama wa dogo, mtu unajiamini unaakili kuliko chama shida sanaa, kuna muha moja alikuwaga MD wangu tulikoma ni mbinafsi, mchoyo, kila kitu anajua yeye n.k

umeharibu hujatumia akili kufikiri,umetumia uyashi wa umbea na chuki zili dhahiri

mbona bosi wangu mha na hana tabia hizo??

ukiwa mha tu, tabia hizo mbaya zinakufuata?? acha ujinga
 
walijua msaliti yule alikiuka taratibu za chama chake ndio maana wakampotezea

mamluki yule, anauma na kupuliza haeleweki kama yuko CDM au ccm, kuna siku atapasuka msamba!
 
kwani hujui mmiliki wake ni mwenzetu wa kuleeeeee
 
Mshamba kweli wewe. Anzisha tv yako halafu umweke zito masaa 24/7 uangalie na mkeo. ukipenda hata na hawara au bwana wako. shwain

Una hisa itv wewe? au babu yako litoa mchango ikaanzishwa?
 
Wamtangazie wanao mtaka lakini haimfanyi Zitto akatota mwisho wa ubaya aibu sasa wanaona haya wanazidi kufedheheka,kukicha wanafanya madudu...
 
Mshamba kweli wewe. Anzisha tv yako halafu umweke zito masaa 24/7 uangalie na mkeo. ukipenda hata na hawara au bwana wako. shwain

Una hisa itv wewe? au babu yako litoa mchango ikaanzishwa?

How can I report this to mods?

Tubishane kwa hoja sio matusi.. Kama hukuelewa topic, ungesema ningejaribu kuandika kwa lugha yako!
 
walijua msaliti yule alikiuka taratibu za chama chake ndio maana wakampotezea

Unaweza kukuta hata katiba ya chama huijui ila unaandika tu. Tufungue macho nasi tujue amevunja taratibu gani.
 
Umeanza vizuri, ila umemalizia hovyo.. Sina ndugu kwenye hzo media!
 
Kwani hakuna vyombo vingine vya habari?kuna tbc,clouds,star tv,channel 10,na nyingine mnazotizama huko Dar mbona hukuangalia hizo?Huu tunaita kuwashwa washwa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Nafahamu, lakini mi nimezungumzia ITV, labda kama hujaelewa!
By the way, sipo Dar!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…