sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.
Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

haya bwana!Nendeni TBCccm ndio hurusha habari za kimagamba magamba,
Nendeni TBCccm ndio hurusha habari za kimagamba magamba,
Angalieni kigoma Tv mtamuona nyang'au yule
Kwani hakuna vyombo vingine vya habari?kuna tbc,clouds,star tv,channel 10,na nyingine mnazotizama huko Dar mbona hukuangalia hizo?Huu tunaita kuwashwa washwa
Tukisema wana ubaguzi mnaleta mat.,usi hivi ITV inamilikiwa na nani? si anatokea mkoa mmoja na wenye saccos ya chadema? unategemea nini!? tutaangalia hizo zingine
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.
Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.
Itv ya kaskazini