Itv na ziara ya katibu mkuu wa cdm

Bado wanafikiria namna nzuri ya kuileta hiyo habari,maana mtu mzima kaumbuka! Nguvu ya umma imemgeukia!

nimekuangalia ulipokuwa unapiga kura ni sahihi ama si sahihi kumtimua zitto na kitiila umepiga hujui, kwiiiii kwi kwii kwiii
umewasaliti Lumumba ai!!!!
 
nimekuangalia ulipokuwa unapiga kura ni sahihi ama si sahihi kumtimua zitto na kitiila umepiga hujui, kwiiiii kwi kwii kwiii
umewasaliti Lumumba ai!!!!

Hii thread makamanda mbona hamuichangamkii!? Vipi? Mimi sipigi kura ktk Jf, wakati najua kabisa Jf ni ya nani. Usinichanganye hapa, turudi kwenye fact in issue, mbona hamuichangamkii thread? Mzee mzima chali! Na asiende Kasulu, watamng'oa meno na uzee ule hayaoti ng'o!
 
nnlipo umeme umekatika nikawa nimeenda sehemu wanapotumia nishati mbadala,
palikuwa na makumi ya watu wakifuatilia taarifa ya habari,
baada ya hbr za kitaifa bila ziara ya katibu mkuu cdm kuoneshwa karibia wote tuliondoka huku tukilaan kitendo cha taarifa hiyo mhimu kwa taifa kutooneshwa,
baadala ake zinaoneshwa za kujisifia tu, mtoto wa mengi kuoneshwa akiimsifia babaake,
+ wafujaji wa pesa za wavuja jasho wa tz wakijisifia hadharani namna wanavyofuja pesa zetu, baada ya kuvimbewa.
Imetuuma sana.
Mola ibariki cdm ,ibariki tanzania

bavicha muda mwingine kama mnaugua vile. Yani majuzi tuu mlikuwa mnaisifu itv hiileo mnaiponda sababu tuu hawajamuonesha dr slaa?

Hivi kweli habari za dr slaa ni muhimu kuliko zingine?
Nani amewaroga nyie bavicha?

Hivi itv wange tangaza kuwa wananchi wamehoji kama dr slaa amerudisha mkopo kwa riba au lah si mgefungua vitini vyenu vya matusi?

Yani bavicha mmebaki kutafuta mchawi tuu na kila mtu anaye katiza mbele yenu mnamuona mbaya.

Hivi chadema ni lini mta anzisha television yenu ili muache kulalamika?tatizo lenu mnadhani matakwa yenu ni ya kila mtu.

Hivi bavicha kwanini hamna shukrani?

Chadema anzisheni television yenu.
 
Kinana katumia nguvu na pesa nyingi kujinadi kwenye vyombo vya habari lakini ni zero,
haeleeweki ,na hana mvuto wa kusikia zaidi ya kujaza utumbo kwenye vyombo vya hbr,
CDM Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
 
the same to me!sijawaelewa kabisa itv!kama kuna mtu anahusika na itv atupashe kwa nn hawajaonesha ziara ya dr slaa???wanabaki kutuonesha akina kinana ambao wanajisifia kuwa wamekula sana pesa za watanzania ila sasa wataacha!!hatudanganyiki kijinga hivi!!

Sent from my blackberry 9900 using jamiiforums

hivi nyie bavicha itv ni yakwenu? Nani kawambia dr slaa ni wa muhimu kiasi hiki.

Bora mshukuru hawajaonesha jinsi dr slaa alivyo ulizwa zitto yuko wapi.
 
kinana katumia nguvu na pesa nyingi kujinadi kwenye vyombo vya habari lakini ni zero,
haeleeweki ,na hana mvuto wa kusikia zaidi ya kujaza utumbo kwenye vyombo vya hbr,
cdm tulianza na mungu na tutamaliza na mungu,

mkuu Zedikaya hata kuchoma ofisi yenu mlianza na mungu?
 
Last edited by a moderator:
Bavicha kwa kuropoka bhana ukiwauliza watwambie ni jinsi gani huyo wanae mtuhumu kufuja pesa za walala hoi amezifuja hawawezi kukwambia.

Mwaka huu kazi mnayo.
 
Wamemtoa Silaa amevaa magwanda wakati Kahama alivaa shati na tai! Shame!!!

Body without head

mtashindana lakini hamtashinda mmeacha lichama lenu linakufa mnapambana na shati la mikono mifupi la rais dr slaa ... verry stupid......
 
Nnlipo umeme umekatika nikawa nimeenda sehemu wanapotumia nishati mbadala,
palikuwa na makumi ya watu wakifuatilia taarifa ya habari,
baada ya hbr za kitaifa bila ziara ya katibu mkuu cdm kuoneshwa karibia wote tuliondoka huku tukilaan kitendo cha taarifa hiyo mhimu kwa taifa kutooneshwa,
baadala ake zinaoneshwa za kujisifia tu, mtoto wa mengi kuoneshwa akiimsifia babaake,
+ wafujaji wa pesa za wavuja jasho wa tz wakijisifia hadharani namna wanavyofuja pesa zetu, baada ya kuvimbewa.
Imetuuma sana.
Mola ibariki CDM ,ibariki Tanzania

Mbona hueleweki?????
 
hivi nyie bavicha itv ni yakwenu? Nani kawambia dr slaa ni wa muhimu kiasi hiki.

Bora mshukuru hawajaonesha jinsi dr slaa alivyo ulizwa zitto yuko wapi.

hawana namba zake za cm mpaka wammulize,
watumie,si bado mkataba wenu na yy unaendelea
 
unaweza ukashangazwa na bavicha kwakweli. Yani waache kuonesha habari ya bunge waoneshe mtu aliye jikopesha ruzuku.
heri aliyejikopesha atarudisha zifanye kazi kuliko muuaji wa tembo na mfujaji makusudi wa kodi za wavuja jasho,na kwenda kueleza majukwaani namna alivyovimbewa vya kunyonga
 
Wanachukua picha za mikutano ya 2010 wanaleta hapa eti ndiyo mkutano wa Silaa, sijui hawajui kama Kahama kuna member wa JF?!!

Body without head
Nipo Kahama na nimeshangaa kuziona picha jana, ambapo nilikuwepo na hapo mkutanoni. Tuwe wakweli na kuacha propaganda.

Nimetazama news bulletins za Channel 10, Star tv na TBC nao leo hawajarusha chochote. Kwa nini walaumiwe ITV pekee?
 
Wamemtoa Silaa amevaa magwanda wakati Kahama alivaa shati na tai! Shame!!!

Body without head

Mkuu, nami nilikuwepo Kahama na mkutanoni nimeshangazwa mno na propagation. Ni vigumu kueleza ukweli, ukweli hukuweka huru siku zote.
Chadema yapasa kubandika picha za uhalisia wa tukio na si vinginevyo.
 
Kinana katumia nguvu na pesa nyingi kujinadi kwenye vyombo vya habari lakini ni zero,
haeleeweki ,na hana mvuto wa kusikia zaidi ya kujaza utumbo kwenye vyombo vya hbr,
CDM Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,

Sipendi mnapomshirikisha Mungu kwenye udharimu wenu. Msitaje jina la Mungu kama fashion, heshimuni jina lake.
 
Back
Top Bottom