Soap opera huwa haziishi kulazimisha kuisha ni kuingilia kazi za watu.yaani watu wamewekeza pesa zao ili tamthilia izungumzie maisha ya kila siku,halafu anatokea mtu kutoka namtumbo na miguu yake iliyopinda anabana pua eti "mbona haiishi"?Kama vipi anzisha ya kwako halafu iishe baada ya siku moja.
chezea isidingo ww....toka unanyonya , kuvunja ungo mpaka menopause........
chezea isidingo ww....toka unanyonya , kuvunja ungo mpaka menopause........
Mbona hujaweka picha sa?
hahahahaha hivi ilianza mwaka gani
Hivi jamani kuna kitu sijakielewa hapa kuhusu hii isdingo the need, kwanini huwa haishi?? Ina maana itv wamekosa kipindi kingine cha kuelimisha jamii zaidi ya hiki cha isdingo?? Au kuna percent wanapata kutoka kwa hao isdingo wenyewe???? Isdingo yenyewe haina mashabiki hata kidigo, maisha gani ya ki miner yasiyo na mwisho?? Itv
muache kutuzingua banaaa!!!
Naomba kujua ka Leti Matabane aliyefariki mwezi wa pili bado anaonekana.