Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

Ya STARTIMES sasa inatoa huduma ya satellite kwa mfumo wa madishi pia naona kitakuwa king'amuzi bora Tanzania
 
Ya STARTIMES sasa inatoa huduma ya satellite kwa mfumo wa madishi pia naona kitakuwa king'amuzi bora Tanzania

Sina uhakika na huduma zao kama pamoja na kubebwa kote hakuna kilichofanyika au walikua wanakusanya mtaji wa kuingia kwenye satelite.
 
Msaada kwa tuliopo mikoani, bei ya kingamuzi cha Azam ni kiasi gani, na malipo kwa mweiz ni kiasi gani na malipo ya mwezi yanapo expire ni channel gaani zinazobaki zinaonekana, Kwa ujumla wake channel zipi za kibongo zinazo onekana, Samahani wadau kwa maswali mengi.Naombeni mnieleweshe maana star times wamenichosha.
 
kwenye azamtv akuna chanel ya bure. pesa yako ikiisha upati kitu malipo ni 12500 kwa MWezi bei ni 135000 inategemea ulipo
 
kwenye azamtv akuna
chanel ya bure. pesa yako ikiisha upati kitu malipo ni 12500 kwa MWezi
bei ni 135000 inategemea ulipo

sio kwel chanel za bure zipo, mimi mwezi huu nilichelewa kulipia chanel zote zilikata isipokuwa chanel zote za ndani pamoja na kenya uganda burundi na rwanda zilikuwa zinaonekana
 
Rest in Peace vingamuzi kama Continental, Digitek na Easy TV.
Azam wako juu na wamejipanga, sio kama vingamuzi vingine vinaanza biashara na channel 8.
Kingamuzi cha StarSat cha startimes, ambayo unatumia Dish, haitakuwa na Local channel zaidi ya TBC na channel 10. Kwa hiyo haitaweza kushindana na Kingamuzi cha Azam TV
 
Naona Bakheresa anazidi kuongeza uwezekano wa kutomchangia hela katika maisha yetu ya kila siku.The good thing about him is quality at the lowest price possible.Safi sana
 
Back
Top Bottom