ITV na CAPITAL TV Hakina Digitali??

Naona huku kwenye digitali hawa Clouds TV wako scrambled kabisa. Chezeiya dijitali weye, wapi Kibonde ?!

Mabadiliko ya Tabia watu hayo kaka...imekula kwa Clouds TV. Haya mambo ya kuungaunga... RUGEEEEEEE, WAPI KUSAGA MZEE WA THT ( TANZANIA HOUSE OF TRUMPETS)
 
Ndio hivyo nchi hii kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo ya muhimu kwa wananchi.

Mambo ya Muhimu kwa wananchi hutasikia deadline!
 
Angalau sasa sebuleni kwangu nitakaa kwa amani, maana tamthilia za ITV na Star TV zilikuwa zinaninyima uhuru nyumbani kwangu...!
 
Mbona simu za mchina hazijazimwa kwani zilizokataliwa kenya zimeingia hapa kwetu kiuraini
 
Ving'wamuzi vya startime leo kariakoo ukipata kwa 55000/=una bhahati
 
hiv wakuu kwenye dish la bure,hzi tv station za bongo hazipo?maana kuna zile zilizopo free to air.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…