ITV mnatia aibu, Acheni kutumika kisiasa

kama ni hivyo TBC wangerusha habari za ukweli unazotaka wewe maana ile ni ya serekali kuilaumu itv unawaonea bure
mara lowasa

mwaka huu
 
STAR TV:Wahanga wa Mafuriko huko Kahama waibua Tafrani baada ya kufunga barabara iendeayo nchi jirani na kupelekea polisi kuingilia kati. http://simu.tv/7Rc57UB
 
Kama kawaida badala ya kujadili hoja ili watu wajirekebishe kama kweli wanapotosha.umma, humu ndani watu wanajadili hoja kishabiki, na kimahaba, full taarab
 
Kwenu inauma kumbe wekeni ukweli wenu mnaoujua kwenye hio tbccm yenu muangalie wenyewe mfurahi

TBC ukipenda,usipopenda,ukiangalia au usipoangalia itakuwepo,utailipia,tbc ni tv ya taifa inabeba taswira ya taifa inaonesha mambo mazuri yanayofanywa na serikali kwa % kubwa,inaongelea kazi zinazofanywa serikali kimsingi ndizo kazi za CCM,haitakuja kutokea tv ya taifa ikaonesha mambo yanayoisema vibaya serikali iliyokuwa madarakani, ndio maana vyombo vya habari vingine vinepewa uhuru wa kufanya hivyo,sio lazima kinachorushwa na ITV lazima kilushwe na TBC
 
Sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu Kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa ITV, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya Kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na Maige, unakaa Kahama Motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

ITV tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa CCM mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri Lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa Lowasa.

Mkuu wa Wilaya Kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.Chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.

Cha kushangaza hapo ni nini nyie mafiki kama mkuu wenu kaweza kusema mimba ni viherehere vyao, wananchi wakileta fujo wapigwe tu hilo kutoka kwa Pm , Mzee kachoka anakaribia kufa hayo maneno yalitoka kwa viongozi wenu sasa hilo huyo mkuu wa wilaya kulitamka kwake yeye nisawa tu weshalewa madaraka nyie msitafute pakufia matendo ya viongozi wenu ndio yatakayo wahukumu october.sio.mbali tuombe uzima.
 
Ukweli ni upi?sasa hivi teknologia imepanuka sana tukipata kavideo kwenye sekundi 15 au 20 kanatosha kuwaridhisha watu wengine.
 
Maamuzi ya kuzika na sandalusi, yalikuwa ya Wananchi au ya serikali? Namaanisha maiti walikuwa mikononi na chini ya uratibu wa serikali? Ksma sivyo mkuu wa Wilaya anaingiaje ktk lawama. Mnajuaje labda ndio mila zao mtu akifa maji ndivyo wanavyozika, maana hata kwetu mtu akifia mtoni tuchimba pembeni mwa mto na kumfukia bila sanda.

Yaani serikali izike maelefu ya vifo vya Mv Bukoba, ishindwe maiti tano za watoto? HATUJIULIZI
Acha kuandika pumba mkuu,natamani na wewe ufiwe alafu umzike maiti wako kwenye sandarusi,lile lilkuwa ni janga ambalo DC ilitakiwa muda uleule hata majeneza na sanda akope.Watu wamepotelewa na kila kitu kwenye mafuriko wewe unadhani mazingira yale ambayo hata mbuzi wamekufa na kila nyumba kuna msiba nani angepata hela elfu 5 ya kununua sanda ya kumsitiri mpendwa wake,ilibidi mkuu wa Wilaya ajiongeze.Ila la kusema maafa yameongezwa kutokana na ubovu wa nyumba sio tusi ni facts,hakukosea kusema hivyo
 
Kwa hiyi unataka kutuambia tuliyoyasikia kwenye taariza za ITV kuhusu maafa ya Kahama na ushiriki wa mkuu wa wilaya ni uwongo?
 
Sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu Kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa ITV, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya Kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na Maige, unakaa Kahama Motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

ITV tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa CCM mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri Lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa Lowasa.

Mkuu wa Wilaya Kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.Chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.

Mleta uzi naona umekurupuka sana juu ya kumlaumu cosmas makongo na inaonyesha jinsi gani humfahamu viziri huyu jamaa,kaa ukijua kuwa si kila mwandishi wa habari ana njaa!,cosmas ana vyake siyo kama waandishi makanjanja.Hilo gari analotembelea wewe huna!
 
Mmmh mkuu mbona hii habari ilioneshwa na wananchi hadi wa kafunga barabara? Mbona walimuonuonesha mkuu wa wilaya akijitetea na aliyekuwa akimlaumu ni mwenyekiti wa CCM hapo na mkuu wa mkoa aka haidi kuwa suluhishisha?

Mbona wananchi walifunga barabara kwa hiyo kauli? Katika hili unawaonea hao ITV labda kama hukutaka walipoti!

Huyu jamaa naona ana matatizo na itv,na siyo taarifa ya mwandishi.kama hataki kuiangalia itv akaangalie azam tv
 
Mmmh mkuu mbona hii habari ilioneshwa na wananchi hadi wa kafunga barabara? Mbona walimuonuonesha mkuu wa wilaya akijitetea na aliyekuwa akimlaumu ni mwenyekiti wa CCM hapo na mkuu wa mkoa aka haidi kuwa suluhishisha?

Mbona wananchi walifunga barabara kwa hiyo kauli? Katika hili unawaonea hao ITV labda kama hukutaka walipoti!

Huyu jamaa naona ana matatizo yake na
 
TBC ukipenda,usipopenda,ukiangalia au usipoangalia itakuwepo,utailipia,tbc ni tv ya taifa inabeba taswira ya taifa inaonesha mambo mazuri yanayofanywa na serikali kwa % kubwa,inaongelea kazi zinazofanywa serikali kimsingi ndizo kazi za CCM,haitakuja kutokea tv ya taifa ikaonesha mambo yanayoisema vibaya serikali iliyokuwa madarakani, ndio maana vyombo vya habari vingine vinepewa uhuru wa kufanya hivyo,sio lazima kinachorushwa na ITV lazima kilushwe na TBC

Wafanyakazi wote wa tbc walio na uzalendo wanajulikana na wale wanafanyakazi ki siasa wanajulikana wasubiri baada ya october tido mhando anarudi hapo....
 
TBC ukipenda,usipopenda,ukiangalia au usipoangalia itakuwepo,utailipia,tbc ni tv ya taifa inabeba taswira ya taifa inaonesha mambo mazuri yanayofanywa na serikali kwa % kubwa,inaongelea kazi zinazofanywa serikali kimsingi ndizo kazi za CCM,haitakuja kutokea tv ya taifa ikaonesha mambo yanayoisema vibaya serikali iliyokuwa madarakani, ndio maana vyombo vya habari vingine vinepewa uhuru wa kufanya hivyo,sio lazima kinachorushwa na ITV lazima kilushwe na TBC

Jiandaeni kumpokea tido mhando na vibaraka anzeni kuhamia vituo vingine
 
sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa itv, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na maige, unakaa kahama motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

Itv tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa ccm mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa lowasa.

Mkuu wa wilaya kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.
kila mnapofanya mambo ya hivyo mnasingizia siasa!!!mwaka huu kweli ni mgumu kwenu.
 
sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa itv, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na maige, unakaa kahama motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

Itv tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa ccm mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa lowasa.

Mkuu wa wilaya kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.
kila mnapofanya mambo ya hovyo mnasingizia siasa!!!mwaka huu kweli ni mgumu kwenu ccm.
 
ITV inachuja kama kanga za TANZANIA,SJHI IMELEWA SIFA,ZAMANI WALIKUWA WAKIRUSHA HABARI ZA CCM BASI MDA MFUPI WATARUSHA ZA CDM na vyama vingine sku hizi uhmmmmm!!!;-);-):-D:-D
 
Bila ITV wengi tungekuwa gizani,tungefichwa mambo mengi sana hapa nchini mleta mada acha chuki utakufa mapema kabla ya wakati na inaonekana una roho mbaya sana.
 
kama ITV imekukera basi hamia Iman tv.Chuki na vihoro vyenu binafsi mtakoma navyo wenyewe,sisi hayatuhusu!
 
Back
Top Bottom