ITV, Mengi to be dealt with soon

Kitila;

Umepotea sana ndugu yangu. tutafutane.

I think this is a mere dream.

Anyway ....Labda!

FP
 
Hata wafanyeje, huu si wmisho wa mapambano! Aluta continua...

HUU NI UONGO UONGO UONGO, msitake kuleta habari za kipambe humu ndani, binafsi siamini kama hili lipo au linawezekana. otherwise huyu mleta mada ana lake au katumwa.
 
HUU NI UONGO UONGO UONGO, msitake kuleta habari za kipambe humu ndani, binafsi siamini kama hili lipo au linawezekana. otherwise huyu mleta mada ana lake au katumwa.

Siamini leo kale ka-nzi [ENIGMA] kamekuwa katumwa.... Tatizo humu ndani mtu akitoa habari hasi kwa hisia za mtu then inakuwa ni msaliti, katumwa au something

Hakuna haja ya ku-worry kwani ITV ni zaidi ya Tanzania TV, kuna mikataba na watu wa nje, kuna political and economica negatives if we shut down the channel, lakini its good kuangalia both sides of the coin

 

Wala sio HISIA HASI mimi mwenyewe SIKO UPANDE WOWOTE, nilichokuwa najaribu kuona ni kuwa sidhani kama kitu kama hiki kinawezekana zama hizi, nimetumia sentensi ya kutumwa maana ndio sentensi PENDWA HAPA JF.
 
Kuelekea 2010 Rais Kikwete can not afford to ban ITV, hata kama yeye na wanamtandao wangependa iwe hivyo. Hii ni kwa sababu wanatambua (kwa akili ya kawaida kabisa ya kuvukia barabara) kwamba wananchi wasiofikiri vizuri (ambao ndio majority kwa Tanzania) wanaweza kumhusisha moja kwa moja yeye Kikwete na mafisadi papa waliotajwa na Mengi. Na hii itapelekea yeye kushinda kwa margin ndogo huku madhara makubwa yakienda kwa wabunge wao wa CCM ambao tayari wamepoteza mvuto kwa wananchi. Bila kusahau Chadema watacapitalize kwenye hiyo issue na kuendelea kujizolea wadanganyika wengi zaidi kuelekea 2010.
 
Huo mzozo mkubwa sana ila nawashauri sana wasije wakafanya lolote kuizuia ITV isiruke hewani...watakosea sana sana..hata jumuia ya kimataifa itawashangaa na itaingilia kati......na kumsaidia Mengi
 

Mkandara,
Siasa si hasa, The Mengi you are thinking about will turn to be just like a toilet paper and guess what...? will be dumped and flushed with sh*t.

Akae aangalie biashara zake hayo awaachie akina Silvio Baluccicon.
 
Wakuu,

Naona wengi mmetoka nje ya thread kabisa. Naelewa ni katika kutetea hoja zenu, lakini posts kibao hapo zinajadili kuhusu Mengi kugombea uraisi. Tusisahau kwamba hoja hapa ni kufungwa kwa kituo cha ITV. Labda kwa wenye uelewa wa sheria za habari wangetuchambulia kuna uwezekano gani wa ITV kufungwa na kwa kosa lipi. Sheria inasemaje juu ya mmiliki kurusha taarifa zake mwenyewe? Je Mengi angerecord ile taarifa na kuitangaza kupitia TBC1, je kituo cha TBC1 kingefungwa? Au Mengi ndio angeshtakiwa kama mtanzania tu? Au TBC1 wangegoma kuirusha? Naomba tujadili thread katika mfumo huo.
 

Mkuu
Thread ina kwenda na wakati, baadhi ya wachangiaji wameshaona kuwa hiyo topic ya kufungiwa haina nguvu sana na katikati ya thread imezuka hoja ya nyongeza na ndiyo inayojadiliwa. Sasa basi unaweza kustick kwenye hoja ya msingi na kuongezea nguvu lakini hizi hoja za nyongeza zitaendelea kujitokeza.
 
Daily News leo inaheadline "JK reaffirms free expression".
 
Angesimama mbunge na kuyaongea aliyoyaongea Mengi kupitia ITV wangetaka kuifunga? Mwananchi reported the samething, kwanini halizungumziwi?
There is the end to all this. Mafisadi are getting powerfull na sijui wanazitoa wapi.
 

Haya niliyajua mapema. Natambua kuwa nilishaubeba msalaba huu, nitaendelea kuubeba kwa niaba yenu. Mbona mara ya kwanza walinikamata harakaharaka? Mbona Utamu wanamwacha? Au kwakuwa ana udugu na kiongozi wa juu ndani ya Chama tawala?

Wana JF, nitabeba msalaba huu kwa niaba yenu. Nipo tayari! I will never disclose anyone and after all, I know none. I know your JF nicks and do not know who exactly are you! You can't compare JF with Utamu. Muhimu ni watu kuwa makini, wenye dhamira ya kuchafua ndo wameongezeka kadiri siku za uchaguzi zinavyokaribia.

Thanks to God, ndo nimeacha kazi rasmi nilikokuwa nimeajiriwa na kuwa dedicated kwa ajili ya maendeleo ya JF. Once they need me, they know where to find me and how to reach me. I'm not Invisible, am not Mwanakijiji and am not Rev. Kishoka etc, am Maxence.

Sijui ni wapi tunaelekea Tanzania!
 
Daily News leo inaheadline "JK reaffirms free expression".


Mzee Kiko.... pamoja na hilo kasema pia watu wasivunje sheria kwa kusingizia kuwataja wahalifu. Uliisikia hii? ilikuwa ikimgusa mzee Mengi moja kwa moja, JK kwa kuchanganya mdomo hatumwezi!
 

Punguza woga, the information haina uzito wowote kwa hiyo can not be trusted. Isipokuwa ni muhimu JF ika-maintain standards zake, hili ni muhimu kuliko yote.
 

Hakuweka public kwasababu bunge lilikuwa limechemka kuingilia chombo cha habari kuwa kinatangaza habari za mmiliki kuliko rais. Sioni sababu ya vitu vidogo kama vile kupelekwa bungeni kwani bunge ni kitu cha juu mno. Hivyo spika kwa the so called busara za spika akaamua kuiua kichinichini.

Kuhusu hizi habari zinaweza kuwa za kweli au zikawa siyo. Mengi hawezi kufunga kituo ili ionekane kuwa mafisadi wametumia nguvu ya serikali kukifunga. Nafikiri hii inawezekana kwani jamaa wanafull support ya serikali.

Lakini pia tunajua serikali yetu inavyofanya kazi, kama mengi jinsi ambavyo amekuwa akiwasumbua wangekuwa wameshamshugulikia kwani yuko peke yake. Tumesikia jinsi alivyopambana na mawaziri baada ya kuibua kashfa zao.

Tujiulize kwanini tender ya kilimajnaro kama kweli mengi alikosea kulalamika kwanini waziri alinyamaza? Vitambulisho na vithibitisho vipo bado mengi anaonekana yeye ndiye mkosaji? Mbona hiyo kampuni haikupewa basi kama walivyoazimisha bulyankuru au Tanesco?

Tuache ushabiki tuweke mbele utaifa wetu kwani watu fulani wanapenda kuwekewa attachment mbona hizo attachment za mengi hatuzioni jinsi alivyoiba? Au ufisadi wake ni kuwa na vyombo vya habari?
 

Pole mapambano huwa kuna watu lazima waumie lakini wale waliowazunguka hawatakiwi kurudi nyuma wanapoona mwenzao kaguswa. Hivyo mimi kwa upande wangu tuko pamoja as hii forum ina mambo ambayo kama ingekuwa ni uwezi kila mtanzania alitakiwa kuijua na kuipitia ili naye apambanue mambo kwa jinsi yake baada ya kupata pa kuanzia. Mapambano daima kwa kwende mbele...
 
Chuma,
Mkuu mimi nimejilipua kama mzee mwenzangu nasubiri paper, sasa unasemaje!..wee vipi unakanyagwa nini?

samahani bro.... nilikuwa najua najibizana na mtu wa JF kumbe member wa zeutamu...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…