Ha ha ha ha unapanic kwa kuwa umeshajua tadip ni kakikundi ka nani na kana watu wa kutokea kanda gani na anayewalipia pale Regency umeshamjua. Pole sana kupenda matapeli
Jamani tusimlaumu Sam Maela Kwa uzoefu Wangu najua mwavile ndiye huwa anapanga habar gani isomwe na ambayo aitakiwi kusomw Sam yuko vizuri sana chochote kinacho fanywa pale lazima wapewe maagizo.
Panic? Why would I? Jibu swali langu. Orodhesha tafiti na makabila ya walioshiriki ewe mkabila mbobezi.