ITV mbona mnaruka kusoma vichwa vya habari

ITV mbona mnaruka kusoma vichwa vya habari

ITV ninawaunga mkono kwa kutokubali kununuliwa na hela za mafisadi. waandishi wengi wamenunualiwa na Lowassa na kazi zao kuandika habari za kumsifia Lowassa tu. ITV you are doing the right thing by ignoring reading cooked information.
 
Leo tarehe 26.09.2015 kituo cha ITV mtangazaji Sam Maela ameonekana akiruka kusoma vichwa vya habari vinavyoonyesha Lowassa kuongoza kwa asilimia 54 ktk utafiti wa TADIP.

Naomba kuwauliza ITV mmetishwa au ni makusudi. Unapoacha kusoma habari kuu tena iliyokolezwa kwa wino kisha unasoma habari ndogo kama kidokezo hamuitendei vyema taaluma yenu.

Kuna maana gani ya jina Independent Television

Hivi inawezekana nao wamekamata mkwanja?
 
ccm inaweza kujirekebisha kwa haya?
Tumechoka kuendelea kupakizwa kwenye malori kama mifugo wa kupeleka mnadani!
Kwanza sheria za usalama barabarani haziruhusu binadamu hai kupakizwa kama ng'ombe ..ndio maana yakawepo mabasi ya abiria!Jana kahama(mkutano wa kufuli) nimeshuhudia kwa macho yangu mwanzoni nilidhani ni ng'ombe wanapelekwa mnadani kumbe ni binadamu sikupendezwa na hilo. sisi ndio tunampa mtu kura kwanini asituthamini? mi mwanaccm lakini nimesema haya kwa ajiri ya kuwataka wahusika wajirekebishe tuheshimu haki za watu

Ukawa wakipakiza watu kwenye malori na kutia mafuta bodaboda ni sawa tena ni sheria kwa uchaguzi mnasIdia wanachama wenu usafiri ila ccm wacha ninyeke mie
 
Sam anaripoti sana mikutano ya ccm, Na yeye anaweza kua Na mapenzi yake lakini sio hapo ITV, namnukuu, nitafanya kila bidii kuhakikisha napata habari za mapema Kwa sababu ITV ndiyo inayoniweka Mjini, sasa Kama amefanya hayo Hana hadhi ya kufanya kazi ITV, kwani Hiki nikituo kinachotegemea watanzania wakitazame, hata sifa kinapata kutoka Kwa watu, hivyo tunataka tuone uongozi ukumchulia hatuna za kinidhami Kwa amekikosesha biashara kwani watu watahamia kutizama vituo vingine.
 
Mru mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono UKAWA. Ni mbumbumbu tu asiyejitambua kama wanywa viroba ndiyo waaoshabikia huu ujinga na uhayawani wa Mbowe aliyewachukua makapi wawili wa CCM na kuwafanya wasemaji wa upinzani. #TeamHapaKaziTu

endelea kutukana tu lakini kutokana na ripoti yenu ya TWAJIWEZA imesema watu wanaoiunga mkono ccm in mbumbumbu wasiojua kusoma na kuandika au form 7.So which is which au mlisahau Kuedit wakati mnakutana na vyombo vya ccm.
 
Sio itv tu,hata gazeti la mwnanchi la leo hawajaamdika habari za utafiti ulimweka lowasa mbele
 
Nahisi wanatishwa coz mwananchi wako fair sana ,kwa hali ilivyo kibongo wanajitahidi sana kwa kweli,ila mafisiem wanavuruga kila media
 
Leo tarehe 26.09.2015 kituo cha ITV mtangazaji Sam Maela ameonekana akiruka kusoma vichwa vya habari vinavyoonyesha Lowassa kuongoza kwa asilimia 54 ktk utafiti wa TADIP.

Naomba kuwauliza ITV mmetishwa au ni makusudi. Unapoacha kusoma habari kuu tena iliyokolezwa kwa wino kisha unasoma habari ndogo kama kidokezo hamuitendei vyema taaluma yenu.

Kuna maana gani ya jina Independent Television

utafiti wa kakikundi kasiko ni tija wala uzoefu kanakojulikana kama 4U movement wanalipwa na Lowsa mwenyewe nao ni wa kutiliwa maanani kweli? Magazet hayo yameripoti kulipa fadhila za aliyewalipa tu, ni aibu sana kwa waandishi
 
Sio itv tu,hata gazeti la mwnanchi la leo hawajaamdika habari za utafiti ulimweka lowasa mbele

utafiti wa tadip ni uhuni. Tupe orodha ya watafiti na cv zao na makabila na dini zao na anayewalipa ni nani?
 
utafiti wa tadip ni uhuni. Tupe orodha ya watafiti na cv zao na makabila na dini zao na anayewalipa ni nani?

Ni utafiti ipi ulipewa makabila na dini zao? Wewe mdini na mkabila mbobezi ambaye wala hujitambui.
 
Sam anaripoti sana mikutano ya ccm, Na yeye anaweza kua Na mapenzi yake lakini sio hapo ITV, namnukuu, nitafanya kila bidii kuhakikisha napata habari za mapema Kwa sababu ITV ndiyo inayoniweka Mjini, sasa Kama amefanya hayo Hana hadhi ya kufanya kazi ITV, kwani Hiki nikituo kinachotegemea watanzania wakitazame, hata sifa kinapata kutoka Kwa watu, hivyo tunataka tuone uongozi ukumchulia hatuna za kinidhami Kwa amekikosesha biashara kwani watu watahamia kutizama vituo vingine.

Una kichaa wewe, usipoangalia na wewe utajinyea kwa mahaba ya bosi wako.
 
Ni utafiti ipi ulipewa makabila na dini zao? Wewe mdini na mkabila mbobezi ambaye wala hujitambui.

Ha ha ha ha unapanic kwa kuwa umeshajua tadip ni kakikundi ka nani na kana watu wa kutokea kanda gani na anayewalipia pale Regency umeshamjua. Pole sana kupenda matapeli
 
Ukawa hawana jema si majuzi itv iliwarusha live kwenye harambee uchwara tena bila ya kulipia air time
 
Ni utafiti ipi ulipewa makabila na dini zao? Wewe mdini na mkabila mbobezi ambaye wala hujitambui.

Ishu za ukabila na mgawanyiko wa kidini na vyote vihusuvyo ubaguzi ni za CCM. Huyo ni mccm usihangaike nae
 
Back
Top Bottom