ITV mbona mnaruka kusoma vichwa vya habari

ITV mbona mnaruka kusoma vichwa vya habari

Asubuhi nilikuwa nafuatilia habari za magazetini kutoka ITV. Najua ITV imepata pongezi kwa kutoa taarifa bila upendeleo. Lakini hili nililoliona leo hii linanipa shaka kwa mtangazaji ambaye nilikuwa namchukulia kama mtangazaji mahiri hapa nchini naye ni Sam Mahela. Yafuatayo niliyaona wakati anaripoti taarifa za kutoka magazetini.

1. Alianza na gazet la habari leo na kuripoti habari za vifo vya mahujaji na ndugu Kombani.....Hii iko sawa japo huwa
wanaanza na gazeti la Nipashe sijui kama ni utaratibu.

2. Habari za Lowasa na UKAWA hazikuripotiwa mfano Lowasa kidedea, Lowasa 54% Magufuli 40% hizi zilikuwa headlines
kwenye Tanzania daima na Majira lakini alizizima kwa makusudi.

3. Aliripoti habari za Magufuli kwenye Uhuru kuwa hakamatiki, na hali tete ya chadema kama ilivyoripotiwa na Uhuru.
Zaidi ya yote alikuwa ana ripoti habari ya Magufuli kwa upendeleo.

Yawezekana ni mtazamo wangu lakini nilichokiona kimenitia shaka weledi wa watangazaji wetu. Hata kama una mapenzi na chama au mgombea fulani usioneshe mahaba kwenye kuripoti kwani uko kazini na lazima uhheshimu taaluma yako.Naomba uongozi wa ITV /Radio one ukemee vitendo hivi na kuhakikisha habari zenye uzito ziripotiwe kama zilivyo kwenye vyombo vyao vya habari bila upendeleo. Wananchi tunahitaji taarifa sahihi ili tufanye maamuzi.

ITV endeleeni kuwa superbrand kwa kutokwenda nje ya mstari.
 
Mkuu wewe huwa humuoni kwenye timu ya kampeni za CCM?
hayo ndio maelekezo aliyopewa kutoka juu
 
kwani angesema lowassa 54% na 40% magufuli ndio ungefanya maamuzi, mijitu mingine bwana, kwanza gazeti unatakiwa ununue ujisomee si usubiri itv ikusomeeee,
 
Jana baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku, liliwekwa tangazo limoja la mgambo kuwashughulikia mama ntilie, tangazo hilo lilimalizika kwa dada mmoja kusema 'ngojeeni Magufuli akija!' CCM wameshai contaminate ITV, hapa ni pesa tu!
 
ccm inaweza kujirekebisha kwa haya?
Tumechoka kuendelea kupakizwa kwenye malori kama mifugo wa kupeleka mnadani!
Kwanza sheria za usalama barabarani haziruhusu binadamu hai kupakizwa kama ng'ombe ..ndio maana yakawepo mabasi ya abiria!Jana kahama(mkutano wa kufuli) nimeshuhudia kwa macho yangu mwanzoni nilidhani ni ng'ombe wanapelekwa mnadani kumbe ni binadamu sikupendezwa na hilo. sisi ndio tunampa mtu kura kwanini asituthamini? mi mwanaccm lakini nimesema haya kwa ajiri ya kuwataka wahusika wajirekebishe tuheshimu haki za watu
Ninaunga mkono hoja. Na kwa serikali ijayo ya awamu ya 5 - iwe ni makomeo au el - itunge sheria ya kwamba katika mkusanyiko wo wote mkubwa (uwe ni wa kisiasa, kidini, kijamii, kiburudani, nk) unaoandaliwa kufanyika katika viwanja vya wazi (km Jangwani) ni LAZIMA iwepo huduma ya vyoo (portable toilets). Ni kumdhalilisha binadamu wa karne ya 21 kwa kuwakusanya (tena kwa malori ya mizigo) katika eneo lisilo na huduma tena kwa siku nzima. Haya ni baadhi ya mabadiliko (ya kimtazamo na kivitendo) ambayo tungependa kuyaona kutoka ama kwa mabadilikomakomeo au mabadilikolowassa. Sheria ya vyombo vya usafiri hiyo ipo inahitaji utekelezaji. Sheria ya huduma muhimu kwa binadamu ya vyoo sidhani hata kama mafisiem waliwahi kuifikiria. Hapa ni fursa kwa watu kama akina Masaburi wanaweza kuanzisha kampuni za kutoa hiyo huduma na wakajipatia vipato.
 
jana baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku, liliwekwa tangazo limoja la mgambo kuwashughulikia mama ntilie, tangazo hilo lilimalizika kwa dada mmoja kusema 'ngojeeni magufuli akija!' ccm wameshai contaminate itv, hapa ni pesa tu!

kwa hiyo unataka wasirushe matangazo, utawalipa mishahara wewe, au litaka je lbda
 
asubuhi nilikuwa nafuatilia habari za magazetini kutoka itv. Najua itv imepata pongezi kwa kutoa taarifa bila upendeleo. Lakini hili nililoliona leo hii linanipa shaka kwa mtangazaji ambaye nilikuwa namchukulia kama mtangazaji mahiri hapa nchini naye ni sam mahela. Yafuatayo niliyaona wakati anaripoti taarifa za kutoka magazetini.
1. Alianza na gazet la habari leo na kuripoti habari za vifo vya mahujaji na ndugu kombani.....hii iko sawa japo huwa
wanaanza na gazeti la nipashe sijui kama ni utaratibu.
2. Habari za lowasa na ukawa hazikuripotiwa mfano lowasa kidedea, lowasa 54% magufuli 40% hizi zilikuwa headlines
kwenye tanzania daima na majira lakini alizizima kwa makusudi.
3. Aliripoti habari za magufuli kwenye uhuru kuwa hakamatiki, na hali tete ya chadema kama ilivyoripotiwa na uhuru.
Zaidi ya yote alikuwa ana ripoti habari ya magufuli kwa upendeleo.

Yawezekana ni mtazamo wangu lakini nilichokiona kimenitia shaka weledi wa watangazaji wetu. Hata kama una mapenzi na chama au mgombea fulani usioneshe mahaba kwenye kuripoti kwani uko kazini na lazima uhheshimu taaluma yako.naomba uongozi wa itv /radio one ukemee vitendo hivi na kuhakikisha habari zenye uzito ziripotiwe kama zilivyo kwenye vyombo vyao vya habari bila upendeleo. Wananchi tunahitaji taarifa sahihi ili tufanye maamuzi.
Itv endeleeni kuwa superbrand kwa kutokwenda nje ya mstari.

je yangekuwa yameandikwa hiv ungelalamika???
 

Attachments

  • daima.jpg
    daima.jpg
    12.8 KB · Views: 282
Mru mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono UKAWA. Ni mbumbumbu tu asiyejitambua kama wanywa viroba ndiyo waaoshabikia huu ujinga na uhayawani wa Mbowe aliyewachukua makapi wawili wa CCM na kuwafanya wasemaji wa upinzani. #TeamHapaKaziTu
 
Ndio maana ya kuandika hapa ni pesa tu. Point yangu hapa ni tangazo lenyewe, magufuli akiwa India Rais ndio atawaruhusu mama ntilie wafanye biashara kokote bila kuzingatia sheria?
 
Nchi hii vyombo vya habari hovyo sana kwenye habari hawafanyi uchunguzi wa kina kuonyesha habari za upande mmoja wanafikiri wananchi wote ni wafuasi wa chama kimoja. Ndo mana hatutajaa tuendelee
 
Sam mahera maeruka habari hiyo kwenye guardian Mtanzania Tanzania Daima Nipashe Mwananchi ITV chama cha hovyo kabisa hovyo I may say watu wameona
 
Asubuhi nilikuwa nafuatilia habari za magazetini kutoka ITV. Najua ITV imepata pongezi kwa kutoa taarifa bila upendeleo. Lakini hili nililoliona leo hii linanipa shaka kwa mtangazaji ambaye nilikuwa namchukulia kama mtangazaji mahiri hapa nchini naye ni Sam Mahela. Yafuatayo niliyaona wakati anaripoti taarifa za kutoka magazetini.
1. Alianza na gazet la habari leo na kuripoti habari za vifo vya mahujaji na ndugu Kombani.....Hii iko sawa japo huwa
wanaanza na gazeti la Nipashe sijui kama ni utaratibu.
2. Habari za Lowasa na UKAWA hazikuripotiwa mfano Lowasa kidedea, Lowasa 54% Magufuli 40% hizi zilikuwa headlines
kwenye Tanzania daima na Majira lakini alizizima kwa makusudi.
3. Aliripoti habari za Magufuli kwenye Uhuru kuwa hakamatiki, na hali tete ya chadema kama ilivyoripotiwa na Uhuru.
Zaidi ya yote alikuwa ana ripoti habari ya Magufuli kwa upendeleo.

Yawezekana ni mtazamo wangu lakini nilichokiona kimenitia shaka weledi wa watangazaji wetu. Hata kama una mapenzi na chama au mgombea fulani usioneshe mahaba kwenye kuripoti kwani uko kazini na lazima uhheshimu taaluma yako.Naomba uongozi wa ITV /Radio one ukemee vitendo hivi na kuhakikisha habari zenye uzito ziripotiwe kama zilivyo kwenye vyombo vyao vya habari bila upendeleo. Wananchi tunahitaji taarifa sahihi ili tufanye maamuzi.
ITV endeleeni kuwa superbrand kwa kutokwenda nje ya mstari.

Mkuu huyu Dogo ni Kada wa chama tawala..kwahiyo usishangae sana cha msingi ni kupiga kura kwa wingi na kulinda kura zetu!...mkkuu
 
mkuu bila hiana jamaa kazisoma tena xana kaka na hata star ccm nao wamezisoma tena kwa kurudia cjui leo wameamkaje
Sam Mahera akumbuke kuna kesho yaani mtu na akili yake
 
Mru mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono UKAWA. Ni mbumbumbu tu asiyejitambua kama wanywa viroba ndiyo waaoshabikia huu ujinga na uhayawani wa Mbowe aliyewachukua makapi wawili wa CCM na kuwafanya wasemaji wa upinzani. #TeamHapaKaziTu
kwa hiyo waunge mkono chama cha familia ya akina makamba kikwete sita na magufuli anayetumwa kama remote ukawa kwa wananchi
 
kwa hiyo waunge mkono chama cha familia ya akina makamba kikwete sita na magufuli anayetumwa kama remote ukawa kwa wananchi

Shika adabu we mwanamke!!! CCM ni global usilinganishe na hiyo Saccos ya akina Mbowe na Mtei otherwise usiandike mpaka umalize siku zako. Naona unasumbuliwa na tumbo
 
Tatizo naona sio Sam Mahela. Hata kwa upande wa Redio One wameruka Habari zote za Matokeo ya Utafiti. Mzee Mengi ba wewe umeshapewa Hela?

ITV na Radio One waulizeni TBCCM na Star Tv Watu wengi hawaangalii tarifa zao za Habari kwaajili ya upuuzi kama huo mliofanya leo
nnnnnnnnnnnnn
NDOTO ZENU ZA MCHANA NDIO ZINAWAPELEKA PABAYA....STAR TV INAANGALIWA SASA HIVI NA WATU WENGI....TBC KAMA KAWA NDIO CHAGUO LA WATANZANIA WENGI.....ITV WAMEZINDUKA...WAMEISOMA NAMBA WALIPOANZA KUENDEKEZA UKASKAZINI..ILIBAKI KUWA TV YA KUONYESHWA KWENYE MABAA YA WACHAGA..... WAMESHAISOMA NAMBA WAMERUDI KWENYE MSTARI MNYOOFU....... PUNGUZENI KULALAMA FANYENI KAZI....SASA HIVI NI WAKATI WA KAMPENI. HAPA KAZI NA UADILIFU TU....HAKUNA MAGONJWA NI PUSH UP KWENDA MBELE
 
Yaani nyie ukawa kwa ulalamikaji mnastahili tuzo kila stesheni tv nyie kwenu inapendelea star TV, channel ten, TBC now ITV hebu anzisheni basi stesheni yenu.
 
Back
Top Bottom