ITV MArudio kipindi cha KONGAMANO la katiba UDSM

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
kwa wale ambao hamkuona kipindi cha kongamano la katiba la UDSM kinarudiwa leo. ndo kimeanza.. fungua ITV ufaidi!!
 
Halo hiyo Massey Ferguson yako hapo kwenye Avatar imekaa vizuri sana. Wale jamaa wa jembe na nyundo huku fedha zote wananunulia ma VX ni wazushi.

Ni kweli waoga hawataurithi Ufalme wa mbinguni wala hapa duniani.
 
naam kipindi cha nyuma nadhani cdn ndo ilikuwa alama yao ya utambulisho ktk bendera yao!
 
Back
Top Bottom