Hata TBC sijaiona hii habari
Hiyo habari ina umuhimu kuliko habari zilizotangazwa? Anyway chombo gani kingine kimetangaza hiyo habari?Hukumu ya Mbowe kufungwa mwaka mmoja au au faini.mil 1 Hamkuitangaza hii imeonyesha wazi nyie ni pro chadema wazi wazi.
Kumbe mnaangalia TBC siku hizi! safi sana! Polepole tu mtapona, tiba bora haihitaji haraka.
Wangetangaza tbc mngesema ni tbccm, tukaviachia vyombo huru na imerushwa na Star tv tu. imekuwaje au ndio ule msemo wachaga wanabebana!