Tv matraco hii tunaipenda sana, imetukuza hadi kufikia hapa, mzee wangu tangu utoto wake amelikuta lile Isidingo, name nimelikuta na nikategemea kuwalisisha wajukuu zangu ila bahati mbaya limejifia hapo mwaka juzi tu.
Hili ndo Jibu.. Jamaa kwenye production wanatoa HD lakini wenye ving'amuzi wanacompress kwenda SD kupunguza gharama.
Miaka kama mi3 nyuma niliweka antenna ya kawaida kwenye SmartTv nkascan nilipata channel kama 10 ikiwemo itv,eatv,tbcc zilikua ni HD baadae zikapotea. Kwenye Continental decoder tbcc ni HD