Kama unapata muda wa kukaa sebuleni kwann usitazameHivi bado mnaangaliaga tv?
tukiacha siasa kuna mtu ambaye haangalii TV kabisa? tukiwatoa wale ambao hawana/hawamiliki TV kwa sababu za kiuchumi na Kukosekana kwa miundombinu ya umemeHivi bado mnaangaliaga tv?
Yes tupo. Muda hakuna.tukiacha siasa kuna mtu ambaye haangalii TV kabisa? tukiwatoa wale ambao hawana/hawamiliki TV kwa sababu za kiuchumi na Kukosekana kwa miundombinu ya umeme
HD ina MB nyingi na Vifurushi vya Satellite ni gharama sana! Na kwa sasa TV za Tanzania azipati mapato kama zamani. Pia Hardware za HD ni ghali mno,So kulipia HD Satellite Bundles ITV itakufaITV hivi kwanini hamtumii HD mi siwaelewi mjue japo na nyie Sasa ni ITVCCM ila jitahidini muwe HD bana. Mnashindwa na pacha wenu TBCCM?
Shida ni ccm kwasababu media zote zimepigwa ban kutangaza mambo ambayo wanasiasa wa ma ccm hawapendi kuyasikia.Tv matraco hii tunaipenda sana, imetukuza hadi kufikia hapa, mzee wangu tangu utoto wake amelikuta lile Isidingo, name nimelikuta na nikategemea kuwalisisha wajukuu zangu ila bahati mbaya limejifia hapo mwaka juzi tu.
nmeshangaaHivi bado mnaangaliaga tv?
Halafu wanajiita Super Brand Afrika mashariki?? Picha kama za Tecno T301.ITV hivi kwanini hamtumii HD mi siwaelewi mjue japo na nyie Sasa ni ITVCCM ila jitahidini muwe HD bana. Mnashindwa na pacha wenu TBCCM?
Azam wanajitaidi kwenye HD ila Youtube Sauti na Picha kwenye Habari zinatofautiana.Ukianzia UTV halafu uhamie kwenye taka taka nyinginezo including tbisii unapata kichefuchefu
Sasa unaangalia nini kwenye TV?tukiacha siasa kuna mtu ambaye haangalii TV kabisa? tukiwatoa wale ambao hawana/hawamiliki TV kwa sababu za kiuchumi na Kukosekana kwa miundombinu ya umeme