ITV kujitoa Star times

ITV kujitoa Star times

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
152
Kutokana ITV kueleza kuwa inahujumiwa kwenye king'amuzi cha Star Times inaweza kujitoa muda wowote.Pia ITV wameshaanza kutoa matangazo wakitaja orodha ya ving'amuzi ambavyo vinarusha matangazo yao.Katika orodha hiyo king'amuzi cha Star times hakipo.
 
Hawawezi kujitoa lasivyo watafungiwa kurusha matangazo. Tatizo lililopo Star times lina rekebishwa.
 
Amri ya 11 Usiwe mwana ccm!
Magamba washajua kuwa ITV inasambaza habari moto kwao wakaona soln ni kuzuia king'amuzi kinachorusha sehm kubwa ya nchi
 
Kwa maana hiyo midahalo kuelekea uchaguzi mkuu itakayoendeshwa na ITV na udasa watu wengi hawataiona. Si unajua magamba hawatak midahalo
 
oyoooooooo afadhari TV ya taifa ijitoe.. *times wanazinguaaaaa
 
Huo ndio ukweli c unaona taarifa ya hh
Habari zilivyotofauti tbc ni kama kijiwe tu
 
vitajieni ving'amuzi vingine vyenye ITV nami niwafuate huko, niachane na hiki cha magamba
 
ITV iko Azam Tv,kingamuzi bora kabisa,DSTV, Digitek ila sio kizuri , Zuku, Ting nk,kila kingamuzi laxima kiwe na ITV ili kiweze kuuza, bado mpo Star tmes,?
 
Kazi ipo na ile za bure lazima ipo kweli au danganya toto..
 
Wanataka kutulazimisha kuangalia habari toka tbccm,wananchi tukatee!
 
Hivi nyie mnaotumia startimes mmechawiwa au?:what:

Mkuu hii nchi kila mtu mpigaji..binafsi nilinunua kisumbusi cha Startimes 2010 baada ya kuambiwa hatuwezi kuangalia world cup hadi tuwe na Startimes..mzee nikajikunja nikatoa sh. elf 99,000 hadi receipt ninayo..baada mpira wenyewe hatukuuona tena..sijui nini kilitokea na mind you by then Startimes ndo walikuwa wa kwanza kabisa kuingiza bidhaa zao sokoni na promo kubwa toka kwa Tbc chini ya DG..Tido Mhando..
 
Back
Top Bottom