Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Kama hamjawalipa unategemea watangaze bure?
Itv nao wamekuwa wapuuzi tu.
Any way whatsapp, facebook, instagram, twitta , jf sms, calls n.k
Vitatumika kuikomboa Tanzania
Itv nao wamekuwa wapuuzi tu.
Any way whatsapp, facebook, instagram, twitta , jf sms, calls n.k
Vitatumika kuikomboa Tanzania
Watasoma tu mkuu, wory not