ITV inapojiunga na wale wanaoikebehi zanzibar

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Posts
7,705
Reaction score
1,288
Nimesikitishwa na kitendo cha Televisheni cha ITV kujiingiza katika vitendo vya Kuikebehi Zanzibar. Katka Kbonzo cha jana tarehe 28/07/09 ITV ilirusha kile kinachoonekana wazi wazi kuwakebehi Wazanzibari.
Maoni yangu: Si vizuri kwa vyombo vya habari vyenye hadhi kama ITV KUCHOKONOA mambo.
 
Ndugu yangu kwani ITV ina hadhi gani? Si chombo tu sawa sawa na hayo magazeti mengine. Waache wafanye wanavyofanya. Hawawashi hawazimi. Ingekuwa TVT (Televisheni ya Taifa) au TVZ (Televisheni ya Taifa- Zanzibar) au STZ au Redio Tanzania zimefanya upumbavu kama huo ungepaswa kulalama sana. Lakini hao waache wapuyange tu.
 
Nimesikitishwa na kitendo cha Televisheni cha ITV kujiingiza katika vitendo vya Kuikebehi Zanzibar. Katka Kbonzo cha jana tarehe 28/07/09 ITV ilirusha kile kinachoonekana wazi wazi kuwakebehi Wazanzibari.
Maoni yangu: Si vizuri kwa vyombo vya habari vyenye hadhi kama ITV KUCHOKONOA mambo.

Nini kilikuwa sikupata wakati wakuangalia Tv jana.
 
ushasema katuni sasa we vipi bwana?ulitaka kirushwe wapi? utani ni utani tu hata km unafanana na kweli we mtu wangu
 
ITV siku hizi ni TV ya udaku

Mkuu Junius inategemea na mtazamo wako.
Ingawa sikupata bahati ya kutazama ITV jana bado siwezi kusema ITV ni TV ya udaku.Unaweza kufikiri ITV ni TV ya udaku kwasababu imetoa habari ambayo haijakufurahisha lakini wengine wakaifuraia.
 
Sasa mnataka waisifu CCM tu ? Ha ha ha ! hayo ni mambo ya punda kumuiga mbwa kumrukiarukia na kucheza na bwana wake.
 
Kwanza tujiulize nani alitengeneza kibonzo ? Mana ITV wanarusha tu .Hata ni wao ITV kwani hawana haki ya kuelezea hisia ama maoni yao ama hawaruhusiwi ?
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya ITV na TBC wakati wote wanafuata misingi ileile ya uandishi? Mbona TBC walipomrusha RA wakati wa sakata la mafisadi papa na nyangumi hamkusema? Isitoshe Uzanzibari na Uzanzibara ulishaanza kukebehiwa na Baba wa Taifa, katu hiyo siyo hoja ya kuumiza kichwa cha mwenye akili timamu leo hii.
 
Mkuu Junius inategemea na mtazamo wako.
Ingawa sikupata bahati ya kutazama ITV jana bado siwezi kusema ITV ni TV ya udaku.Unaweza kufikiri ITV ni TV ya udaku kwasababu imetoa habari ambayo haijakufurahisha lakini wengine wakaifuraia.
Huo ndo udaku wenyewe kutoa habari ya kipuuzi kuwafurahisha wachache tu.
 
Haya mambo yalianza enzi za ZeComedy. Wazanzibari wako sensitive mno na hata kautani kuhusu wao! Acheni vibonzo na utani jamani kuhusu wazanzibari! Nyie wachoreni akina JK na wengineo wanaoweza kutofautisha kati ya utani na ukweli!
 
Haya mambo yalianza enzi za ZeComedy. Wazanzibari wako sensitive mno na hata kautani kuhusu wao! Acheni vibonzo na utani jamani kuhusu wazanzibari! Nyie wachoreni akina JK na wengineo wanaoweza kutofautisha kati ya utani na ukweli, na hata kama ni ukweli wanaweza kuvumilia!
 
Mzee Ngekewa,kazi au madhumuni makubwa ya vyombo vya habari(radio,tv,magazeti..nk)ni kuburudisha,kutoa habari,kukosoa,kuelimisha na kuionya jamii..sasa kama ITV imetoa kipindi chenye kukebehi Zanzibar kuhusu mambo ya muungano ni vizuri tu manake mimi sioni kosa lao likowapi kama wanajaribu kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa muungano.tutakuelewa kama wewe utakuwa opposite na maoni yao(like alot of zanzibarians) and una haki ya kufikiri the way unavyofikiri kuhusu muungano lakini huna haki ya kuilalamikia ITV kwenye blogs hapa JF manake u dont make anysense na wanaJF wanahitaji kuongelea mambo muhimu yanayotukabili nchini and which really need our attention kuliko kutoa chuki binafsi.Y'ALL BE BLESSED!..
 
Mkuu Junius inategemea na mtazamo wako.
Ingawa sikupata bahati ya kutazama ITV jana bado siwezi kusema ITV ni TV ya udaku.Unaweza kufikiri ITV ni TV ya udaku kwasababu imetoa habari ambayo haijakufurahisha lakini wengine wakaifuraia.

Hata kam habari inaonyesha umbumbumbu? Kwani walichokionyesha ni kujionyesha kuwa hawaelewi hata hicho walichokionyesha.
 
Kwanza tujiulize nani alitengeneza kibonzo ? Mana ITV wanarusha tu .Hata ni wao ITV kwani hawana haki ya kuelezea hisia ama maoni yao ama hawaruhusiwi ?

Na hapo ndipo panapoleta mushkeli kwani hawafanyi utafiti kabla ya kurusha kitu?
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya ITV na TBC wakati wote wanafuata misingi ileile ya uandishi? Mbona TBC walipomrusha RA wakati wa sakata la mafisadi papa na nyangumi hamkusema? Isitoshe Uzanzibari na Uzanzibara ulishaanza kukebehiwa na Baba wa Taifa, katu hiyo siyo hoja ya kuumiza kichwa cha mwenye akili timamu leo hii.

Nafikiri huelewi maana ya "KUKEBEHI". Tafuta maana halafu rejea na kufananisha alichofanya Nyerere na kile cha ITV.
 
Haya mambo yalianza enzi za ZeComedy. Wazanzibari wako sensitive mno na hata kautani kuhusu wao! Acheni vibonzo na utani jamani kuhusu wazanzibari! Nyie wachoreni akina JK na wengineo wanaoweza kutofautisha kati ya utani na ukweli!

Mzigo wa mwenzio kanda la usufi au....?
 
Mzee Ngekewa,kazi au madhumuni makubwa ya vyombo vya habari(radio,tv,magazeti..nk)ni kuburudisha,kutoa habari,kukosoa,kuelimisha na kuionya jamii..sasa kama ITV imetoa kipindi chenye kukebehi Zanzibar kuhusu mambo ya muungano ni vizuri tu manake mimi sioni kosa lao likowapi kama wanajaribu kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa muungano.tutakuelewa kama wewe utakuwa opposite na maoni yao(like alot of zanzibarians) and una haki ya kufikiri the way unavyofikiri kuhusu muungano lakini huna haki ya kuilalamikia ITV kwenye blogs hapa JF manake u dont make anysense na wanaJF wanahitaji kuongelea mambo muhimu yanayotukabili nchini and which really need our attention kuliko kutoa chuki binafsi.Y'ALL BE BLESSED!..

When yuo talk abount sense hapo ndipo unakuwa wewe ni nosense.

Mbona unajikanganya kwani wewe una haki gani ya kujadili ambayo mimi sina? Eti ninatofautiana nawe kuhusu suala la Muungano?
Naamini hujaiona hiyo ninayozungumza na kama uliiona na hukuanalise ujumbe mzima basi una kasoro ya kutafsiri mambo kwani hicho kilichoonyeshwa kilikuwa ni upotoshaji dhahiri wa ukweli AU LABDA ndio ufahanu wenu wa Muungano.
 
Back
Top Bottom