Yupi huyo ni Shyrose Bhanji au yule mwenye mwanya mzuri alikuwa naitwa Neema kama sikosei?Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana.hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Mwenye ungo kipindi hiko anaogopeka. Sisi tuliokulia mitaa ya Sinza inayoanzia kijiweni kwenda mpaka mlimani na Mikocheni tulikuwa tunawaona watu matajiri sana.Nimekumbuka the bold and the beautiful hiyo miaka ya 90, kulikuwa na tamthlia ya sunset beach, mara acapulco bay.
Mwendo wa kugeuza antena hapo, inaonyesha...
Umenikumbusha mkuu ukiona nyumba ina ungo unaona hawa matajiri balaaMwenye ungo kipindi hiko anaogopeka.Sisi tuliokulia mitaa ya sinza inayoanzia kijiweni kwenda mpaka mlimani na mikocheni tulikuwa tunawaona watu matajiri sana.
Umenikumbusha mkuu ukiona nyumba ina ungo unaona hawa matajiri balaa
Leo tv anaiita ITV, utamsikia niwashie ITV mjukuu wangu nimechoka kukaa nje acha nikae ndaniHadi tv za kawaida watu wakawa wanaita ITV.
Utasikia naenda kuangalia ITV.
Dahhh nilikua sikosi iyo Acapulco bay visa vya Tony na Rachel demu mkali na braza wake katili Max aisee niliangalia mpk mwishoAcapulco bay, point man, time traxx, dark justice, robbocop, sunset beach, walker Texas ranger, renegade..!
Daah enzi za utoto tulienjoy sana hizi tamthilia.