ITV hizi ni kanzu !

Hii ndio shida ya hawa viongozi wanaokalia viti kwa ushemeji na utumishi uliotukuka kwenye kampeni za kumuweka madarakani aliyemteua. Nakuhakikishia huu utamaduni unaanzia juu kwa mkuu mwenyewe. Wanakaa ofisini wakisubiri taarifa ziwafikie walipo kwa hiyo aliyoyasema ni yale aliyoambiwa na aliowatuma. Kwa watu hiyo ni kashfa kubwa
 
Enzi za Lowasa hawa jamaa wangesimamishwa kazi papo kwa papo.
Mtumishi wa umma lazima utoke ofisini kwenda kuhudumia wananchi sio kukaa ofisini tu unaangalia mafaili.
Toa Upuuzi wako hapa.Hapa sio mahli pa PROMO
 
Back
Top Bottom