ITV bakizeni akiba ya ushabiki

TBC ni chombo cha umma lakini si cha umma achana na itv wanajitahidi sana tena sana

Umenikumbusha wakati ITV inaanzishwa ilipigwa vita na ccm .vita ya ajabu kama sio ujasiri wa Mengi ingekuta mpaka Leo tuna tbccm tuu
 
Leo zimeonyeshwa habari za Magufuri peke yake akiongea Diamond jubilee na wakati akirudisha form, taharifa ya habari ya saa mbili usiku, mbona hilo husemi? Hacha ngono zembe wewe Lumumbas
 

Angalia TBC kwani umelazimishwa kuangalia ITV?gamba we
 
nichekiii kwa hiii no +255 673 612 886 nitext kukuunge team lowassa whatsap group kwa updates za ukawa
 
Jana ITV wameibisha taifa. Nilijua ni channel isiyopendelea kumbe ni hewa tupu. Muda wote wanaipamba CCM au watu 32 wamekwishaanza kazi. Aibu kwao ITV.
 
Kaka mi sio mjinga. Hivi kwa nini nyie chadema mna matusi namna hii!? Huko Sikonge chadema toka asubuhi wanapasuana wao wanaongelea habari za mabibo tu!

Mkuu sio sikonge tu hata mvomero kimenuka hawa cdm nafikiri wameanza kulewa sifa,

Hii ya kuwakata walioshinda na kutuletea walishindwa itawagharimu.
 
safi sana, dawa imeanza kuingia -- tulia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…