rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Peleka ujinga wako huko,ulitaka waonyeshe ugomvi wa wazazi wako??magamba mmekwishaaa nyinyi
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa chadema na ukawa bila kificho, mfano migogoro ya chadema ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule ccm wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Ha ha ha.. Yaani unanikumbusha chako changu na changu changu lol..! Juu ya kuwapiga biti wasizipe nafasi ya mwanzo habari za Ukawa bado hamjaridhika tuu..! Wanatoa sasa habari zenu kila mara ili mpate publicity bado mnalalamika..!
BTW mna kituo chenu cha utangazaji cha Tbccm ambacho kinafanya kazi nzuri sana na slogan yake ya ukweli na uwazi..
Mtu anayeipenda ccm inabidi apimwe akili. Simchukii Magufuli but naichukia ccmNgojea Magufuli Achukue Nchi Tuone Hiyo Media Kama Itakuwepo Tena Tanzania Kudadadeki. Ngoja Wajidanganye Kuwa Rais Ni Lowassa Wao Wakati Wanamume Jana Tayari Tumeshamaliza Kupanga Safu Nzima Ya Baraza Lake La Kwanza La Mawaziri Na Kesho Tunamalizia Kupanga Wakuu Wake Wapya Wa Mikoa Na Wilaya Na Ijumaa Tunamaliza Na Mabalozi Na Wakurugenzi Mbalimbali Wa Taasisi Zetu Muhimu Na Nyeti Ili Jumapili Tukianza Mziki Pale Jangwani Kila Kitu Kiwe Kipo Tayari. Hakuna Raha Na Utamu Kama Kuipenda CCM. Tuvumiliane Tu Wajameni!
Kaka mi sio mjinga. Hivi kwa nini nyie chadema mna matusi namna hii!? Huko Sikonge chadema toka asubuhi wanapasuana wao wanaongelea habari za mabibo tu!
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa chadema na ukawa bila kificho, mfano migogoro ya chadema ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule ccm wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Sio Itv peke yake hata nipashe ni tatizo wanaandika unazi tupuYaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa chadema na ukawa bila kificho, mfano migogoro ya chadema ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule ccm wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.