John_Anthony
JF-Expert Member
- Mar 27, 2024
- 275
- 400
Sheria zitungwe za kuwabana watumishi na taasisi ili ziwe na tija kwa raia sio sheria za kuwafanya raia waisujudie serikali inayofanya mambo ya kuchefua nafsi zao.
Nianzie tu kusema mwisho wa uchawa ni mbaya sana. Heshimu watu sponsor hufa!
Umetumia maneno machache sana, lakini nimekuelewa vizuri sana kiongozi 👍