Its your chance...

yeah jibu lako tayari lipo hapo juu... (kwenye red)
kuanza kuhisi, kufikiria kuhusu akili ya mwingine inavyofanya kazi ni ulimbukeni.

Kurwa humu watu hawawezi jua vitu kwa hakika kwahiyo wengine wanaishia KUHISI ili kupata kile wanachojisikia kuamini . . ndio njia pekee ya wao kujiaminisha wanamjua huyu au wanamwelewa yule. Sawa na wale wa "mume wako hivi, mume wako vile, ndivyo ulivyo, safisha njia yako n.k".
 
yeah jibu lako tayari lipo hapo juu... (kwenye red)
kuanza kuhisi, kufikiria kuhusu akili ya mwingine inavyofanya kazi ni ulimbukeni.
Samahani, sikusema ndivo alivyo, nilisema ndivo nivo mperceive. nilikua wazi sana kua ndivyo ninavo muona MIMI, na nikawa wazi kwamba naweza kua na wrong idea sababu kumjua kwangu kunatokana na tafsiri ya kile ninacho kisoma humu tu.
Hakuna haja ya kuniita limbukeni, please.

Lizzy, sikukusudia kusema wewe ni nani, nanilisema wazi kua sikujui, kama nimekukwaza, sorry.
Nimesema perception yangu tu, na inabaki kua perception yangu mwenyewe. Sorry.
 
 

Kwahiyo unaweza ukawa humjui mtu, kama ambavyo wewe umesema hunijui mimi na bado ukajua anakuaje akiwa na/akiwa hana hasira kiasi cha kuweza kupoint out/kugundua pale anapojibu kwa hasira? Ukawa humjui mtu ila ukajua kwamba anavyoonekana wakati mwingine sivyo anavyotakiwa kuwa mpaka kufikia kusuggest awe hivi au vile (upole, ukarimu) ?

Neway what see is another "I know you" joker like many other i've run into around here, so if the thought of "you know me" makes you feel better in any way go ahead and knock yourself out.
 
Hivi nilisema nakujua, au nilisema unavotakiwa kua? nisome vizuri, I said just the opposite.
 
Hivi nilisema nakujua, au nilisema unavotakiwa kua? nisome vizuri, I said just the opposite.

Naona sasa unajiruka futi mia kidogo. . .na kutaka kuniangukia mimi.

Swali langu lilikua rahisi "Unaweza ukawa humjui mtu kama ambavyo wewe umesema hunijui mimi na bado ukaweza jua anavyokua akiwa anajibu kwa hasira ua la?" hamna sehemu niliyosema umesema unanijua. namba mbili. . . "waweza ukawa humjui mtu na bado ukafikia kusuggest awe hivi au vile?NYONGEZA: au hapendi kuwa hivi au vile kwa sababu hizi na zile?"

Rejea jibu lako la nyuma kuhusu ukarimu na blah
blah nyingine zilizofuatia.
 
Mfano mzuri ni huu hapa.
NAHISI kua hujafuraishwa na mchango wangu. Haina maana kua ni kweli hujafurahishwa, au ni uongo, haina maana kua mimi kusema nimehisi hivo maana yake nimesema nakujua. Ila kwa kusoma michango yako, NAHISI kama hujafurahi.
Kama hisia ni yakweli au ya uongo siwezi kua na uhakika.

 

Ungehisi kwamba umenishangaza ungekua umepatia maana kutofurahishwa na kivuli nisichojua ni cha nani ni kitu kisochowezekana.

Nwy za kuhisi changanya na ufahamu.
 
Ungehisi kwamba umenishangaza ungekua umepatia maana kutofurahishwa na kivuli nisichojua ni cha nani ni kitu kisochowezekana.
Nwy za kuhisi changanya na ufahamu.
NiliHISI umechukia, ila sikua sahihi. Inatokea, na nimefurahi kujua sikua sahihi, ndio maana sikusema IT IS.
Anyway, part kubwa ya post yangu ya mwanzo ilikua inasema I like the you I read in JF, na hii I KNOW...
I hope you did not miss that. 🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…