Its your chance...

Its your chance...

:A S embarassed:

:A S embarassed::A S embarassed:

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Hivi Doto unatumia ipasavyo zili Proscription medicine???:A S-coffee:

YES. That's why I feel all lovey dovey n stuff. Sitomeza tena.
 
Unadata n majina aisee? Angalia usije ukapanga kidate na njemba.
Hahahahaaa hapana,siwezi fanya hivyo,hapa ni urafiki tu dating kwa hii mitandao ni kudanganyana tu.
Hapa wengi ni great thinkers wa ukweli mambo ya dating not recommended.
 
ukinisuta unanionea, ukiniacha unaniogopa.

Lakini si nimemnongzloneza AD, we umesikia wapi?
Ulitakiwa usipasome hapo.

Umbea huu...mtaja sutwa mpaka mchaniwe khanga.
 
YES. That's why I feel all lovey dovey n stuff. Sitomeza tena.

but i like this side of u pia bana! Arrogant + sweet= perfect definition of lizzy!
 
Enhe majibu yakoje?Thread zikoje?

Thanks God ..
umeamka kutoka kwenye ndoto mbaya...

majibu .. Matamu kupita kiasi.
Thread.. Kama vile unatafuta mtu akutongoze ( na wakati mi nimesha kuwahi)
 
Hahahahaaa hapana,siwezi fanya hivyo,hapa ni urafiki tu dating kwa hii mitandao ni kudanganyana tu.
Hapa wengi ni great thinkers wa ukweli mambo ya dating not recommended.

Kwahiyo kuwa 'great thinker' kuna mlazimu mtu kutokudate?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom