Its your chance...

Its your chance...

ithasalwaysbeenafascinationtomebeingabletowritewithoutanymarkasspacescapitalsoranyrulesmaytheybegrammaticallyorwhateverwhoistheretodenydshakespearewasgoodingrammarnonewhatsoeveritisevenopinionatedthatshakespearewasnotenglishnorbynativityneitherbyenglishbeinghismothertonguesomeareevensuggestingthathewasnotahewhoistheretodenythefacts
Yan FF imenibidi nigonge like kwa ubunifu wa lugha yako.
 
Kwa mimi natamani sana wana JF tujuane kwa uhalisia,yan kwa majina halisi na kwa sura na maeneo tuliko ingawa najua ni ngumu,but it is ma wish everyday.
Na kuna baadhi ya watu ambao natamani hasa kuwaona.....i will mention them later.
 
Its my wish to know some JF members, ila naona itatupunguzia uhuru...lol
 
Ukiwataja useme kabisa kwanini unatamani kuwaona.
 
Hahahaaa tujuane ila sio wote
unajua unaweza kuta mwingine ni bosi wako halafu hujui na anaongea pumba JF hahahaaa lazma agome kujuana.
Anyway uhuru kiukweli utapungua sana.
 
Ukiwataja useme kabisa kwanini unatamani kuwaona.
Hahahahaaa unajua kuna vitu Lizy vinavutia kuona huyu mtu ni wa aina gani? Ila ni kawaida ingawa sitawataja ng'oo bora niwa PM.
 
Kwa mimi natamani sana wana JF tujuane kwa uhalisia,yan kwa majina halisi na kwa sura na maeneo tuliko ingawa najua ni ngumu,but it is ma wish everyday.
Na kuna baadhi ya watu ambao natamani hasa kuwaona.....i will mention them later.

mmh watu wakijuana majina halisi humu ndoa na engagement zingine zitavunjika, kazi wengine wataachishwa, suprises zitakuwa kibao...i guess its better this way, though u can find few people u are truly interested in and u get to know them better!
 
ha ha ha ha
umenichekesha usingizini

Kwa nini unadhani hatumii?
:A S embarassed:

:A S embarassed::A S embarassed:

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Hivi Doto unatumia ipasavyo zili Proscription medicine???:A S-coffee:
 
mmh watu wakijuana majina halisi humu ndoa na engagement zingine zitavunjika, kazi wengine wataachishwa, suprises zitakuwa kibao...i guess its better this way, though u can find few people u are truly interested in and u get to know them better!
Yah ila hope one day nitamjua hata mmoja,u know majina yao ndo yananivutia sana kuhitaji kuwajua.Ila ngoja niipotezee nisije sababisha ndoa za watu kuvunjika coz utaweza kuta mnapanga kuonana then siku ya kukutana unamkuta ni mupenz wako hahahahaaaa noma aje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom