It's official, Watanzania ni wavivu wa kufikiri..

mbongowakweli

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
845
675
Hii ni pale Waziri wa Habari, Tamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe aliposhangazwa na TFF na washirika wake, machinga na wajasiriamali wengine waliposhindwa hata kutengeneza T-shirts zenye picha ya Infatino na maneno ya kumkaribisha..Anadai wakaishia kushangaa, kupiga vigelegele, makofi na tabasamu.

Mhe. Mwakyembe amesema umefika muda watanzania wawaige hata wenzao wa Nigeria ambapo FA ya Super Eagles na machinga wa kule walitengeneza pesa yao kiulaini..

Je, ni kweli au ni uzushi tu?

 
Sasa TFF na Infantino ndo inahalalisha kutukana Watanzania wote?
we una akili kweli?
 
Back
Top Bottom