BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,231
Aisee uyu dogo kalambwa ban kwa sababu gani nilikiwa sijui. Saaa mbonankama
Zengwe hili BADILI TABIA
Hakukiuwa na zengwe shem, kulikuwa na uzi kuhusu wapiga mizinga jamaa ilimtachi .....akaishia kulambwa ban
MtotoSix utaweza? Usijitakie ya makusudi hapa bure, wenzio walivunjika viuno wakapotea mazima! Chezea charminglady wewe?
sio demu tu, mke kabisa....
hapa kunakamchezo kachafu,1. charminglady kuutangazia umma kuwa yupo single na hataki mwenza kwani hataki stress za wanaume 2. wakati ndio sasa anatangaza nia na dhamila ya kuwa mpenzi wa cl mwenye mapenzi ya dhati. 3. Cl anatangazia umma kuwa hayuko tayar kumpenda Wns na anaamua kuondoka jf kwa kusumbuliwa na wns 4. Wns anaingia mkenge anapigwa ban mpaka sept. 5. Cl anaibuka kutoka mafichoni na sababu kibao za kujifich 6. M6 Anatangakuwa mwenza wa cl.hapa kuna mchezo mchafu
Nafurahi ninapo ona mteja wangu ana furaha namna hii
jiachie kwa uhuru mteja wangu!
Mkuu kwa dataz unatisha!
waaoo! asante my lawyer, lakin kuna mtu mmoja hapo anaitwa Bishanga ananisakama kweli anadai me nilikuwa mali ya wns, tafadhali naomba umueleweshe my lawyer ruttashobolwa. vp ile contract ipo tayari?
Contract is ready to sign
kuhusu Bishanga usijali kabisa hana shida!
Contract is ready to sign
kuhusu Bishanga usijali kabisa hana shida!
oukey, nafurahi kusikia hvo. ngoja nimuandae my huz MtotoSix tuje kusign contract!
sio demu tu, mke kabisa....
Mwe!! Mwe!! Mwe!! MtotoSix
Ngoja wakati ndio sasa atoke Segerea ndipo utakapoona utamu wa mke wa mtu
samahani mzee wa buzer,nini kinaendelea humu,na huyu charming lady ndio nani maana namuona sehemu nyingi sana na yukoje?does she fear God?