Yetu macho, walishajitangaza wengi sana hapa,yakiwashinda hawarudi kutangaza tunayaskia mtaani!! All the best!
wale wote mliokuwa mnamvizia charminglady mlie tu coz kuanzia sasa mpaka ni bond yangu. Natia msisitizo, kuanzia sasa charminglady ni Laaziz wangu.Mimi na Kipya Kinyemi changu tunawatakia sikukuu njema 🙂
Kwahiyo unamrusha nani roho? Ukiona nimekuachia ujue nmemchoka. nikitaka kukunyang'anya vilevile nakunyang'anya. Mwenzio anakuinjoy. Dawa yako ni ban kama mwenzio alivyo fanywa ndo utajua kuheshimu wake zetu. mia
unalo wewe.... nadhani we ni mmoja ya mnaoongoza kwa kupigwa vibuti humu heheheheheh
wale wote mliokuwa mnamvizia charminglady mlie tu coz kuanzia sasa mpaka ni bond yangu. Natia msisitizo, kuanzia sasa charminglady ni Laaziz wangu.Mimi na Kipya Kinyemi changu tunawatakia sikukuu njema 🙂
mkuu hebu acha uchuro asubuh asubuh lol. . .
mhh.!!!
dah,natamani uongozi wa jf umuachilie huru wakati ndio sasa a.k.a Time is now (TIN) ili nione move inaishia wapi. charminglady hufanyi fresh yule kijana kweli anamapenzi ya dhati.think twice
Mmmmmh mpaka ban na burn ya Wakati ni sasa iishe, atakuta hana lake
Vp mkuu kwani yuko kifungoni!!?? kama ndo hivyo basi itakuwa zengwe limepandikizwa na mtoto six!