It’s my first wedding anniversary today ….

It’s my first wedding anniversary today ….

Hello guys,. Hope mko poa…

Today marks a year since I said “Yes i do “ to my personal person mbele ya madhabahu ya kanisa Moja takatifu katoliki😑😑

Umekua ni mwaka wa kujifunza vitu vingi vipya,. Kujifunza kumpenda na kumchagua mtu yule yule kila siku no matter the circumstances,,.

Nimeyajua mapenzi kwa namna nyingine ya tofauti kabisa,,. Mapenzi ni gharama, mapenzi ni sucrifices, mapenzi ni responsibilities .. Lakini vyote hivyo ni virahisi ukiwa na mtu sahihi📌📌

Ila kwenye yote hayo kama inawezekana and by God’s grace,. MARRY RICH, LOVING AND A KIND MAN. These people are easy and got no insecurities 🙌🏽🙌🏽
Hongera saaana
 
mindset kila mtu anayo, so inategemea ila mwenzio kakomea kwenye rich
Mindset" in Swahili is most commonly translated as mtazamo (attitude, perspective, or outlook) or mtazamo wa akili (mental attitude/mindset)

Swali ....Unawezaje kutafuta na kuwa na hela kama hauna mtazamo wa kuwa na hela...

Ikiwa hujarithi fedha na utajiri kwa wazazi wako kuna kipindi fulani ulikuwa na mtazamo wa kuja kuwa na fedha...

Sasa tukirejea mchango wako wa kwanza ulionijibu ulijaribu kusupport hoja yangu kwa kuipinga
 
Back
Top Bottom