tafuta hela hao uangalia hela sio mindset kichwa kama @bichwakomweSamahani dada naomba hapo kwenye neno rich ongezea MINDSET Maana....
Nitaoa tarehe 05/01/2030 mimi sio rich kwa sasa lakini mindset yangu ni rich
Nafikiri huyu masai wangu naye atakuja furahia
You said it all❤️📌Hongera sana; Ukitambua wajibu wako kama Mwanamke na ukatii na ukajua kuwa sio kila wakati unatakiwa uibuke mshindi, Lakini pia ukajua kuwa, kunyamaza (low key)ni silaha nzuri ya kushinda majaribu mengi kwenye Ndoa.
Hata hivyo, marrying a rich Dude can make life easy; however, having wealth, kindness, and deep love makes life smoother, but it doesn't automatically shield someone from insecurity.
People who fit that description often appear low-drama and comfortable in their own skin because security usually stems from emotional maturity and self-worth, not just their bank account or pleasant disposition.
Mali hii kbsaIla shemeji anafaidi kinoma 😊
View attachment 3719497
tusimwambie tumuache ache kwanza amalize miaka mbiliHuyu tumwambie au tumuache kwanza?
Angalau hapo kuna nafuuUnaweza ukawa poor ila Rich in Mind😂😂
Asante G
Kwamba neno MINDSET kwako linamaanisha nini mkuutafuta hela hao uangalia hela sio mindset kichwa kama @bichwakomwe
😁 anakulia timing TU atakupa na plan mpyaHahaha G,.
Yupo kajaa tele😂
mindset kila mtu anayo, so inategemea ila mwenzio kakomea kwenye richKwamba neno MINDSET kwako linamaanisha nini mkuu
Imetulia hatariMali hii kbsa
Kuna watu wanafaidi