Kumbe dadaangu Chakorii anamtaka mtu mwenye kipara na hajawahi kuniambia?😅Mshangazi huo unazidi kuwa mkubwa mkubwa tu!...😂
Hongera chako ni chako chakorii, uzidi kunona huku na kule!, baraka zineemeke kwako! na ile ndoto yako yakupata mwenye upara ikawe heri kwako!. happy birthday to you 🥳
Huyu dadaangu na hanifichi kitu,lazima nipate mwongozo kutoka kwake kuhusu hili.Mkuu usiharibu birthday za watu mengine yaangalie yaache, birthday kwanza
Mh! mi simo..
Wakati anazaliwa mbona hamkumwambia kuwa kuna maswala ya mchango...😂Miaka 30+ uliyoishi Duniani ukiondoka leo utaacha mchango gani?
Happy Birthday DarlingKaribuni tusheherekee pamoja siku hii muhimu kwangu wapendwa.
Ninapokea zawadi kwa mikono miwili.
Thank you
🫶🫶
😘😘
🥂🥂
Weruweru shule ama Weruweru eneo?Happy birthday mshangazi wa secretarybird zee la weruweru