asante sana red devil, i didn't attend your birthday but i sent a friend, remember?
Russian roulette ni mchezo ulio anzia russia ila unachezwa pote duniani. Unao uwezo wa kuuwa wachezaji. Wanaweka risasi moja ndani ya bastola ya aina fulani inayo weza kubeba masasi 6 (zile za western spagetti movies) alafu wanazunguusha chamber ya bulets. Huwezi kujua risasi liko tayari ku fyatuka ao ni zile "empties" ndizo ziko ready. Alafu mchezaji anapingia hela na kujipiga kichwani. Kama akifa basi he has lost. Kama akipiga lakini risasi halifyatuki anapewa hela.
Maana ya mimi kuchagua jina hili ni sababu nahishi maisha yangu with maximum risk na ikiwa hesabu zangu zitaambulia patupu risk ya kupoteza vitu muhimu katika maisha yangu ni kubwa sana ila hadi sasa sijawahi kupoteza.
Kwa zaidi kuhusu mchezo wa russian roulette gonga hapa:
russian roulette - wikipedia, the free encyclopedia